NZUKI🐝

19.6K posts

NZUKI🐝 banner
NZUKI🐝

NZUKI🐝

@AllyGoa

Arsenal & Simba Fan | Self Made

Dar es Salaam, Tanzania Joined Eylül 2012
2.2K Following5.1K Followers
Pinned Tweet
NZUKI🐝
NZUKI🐝@AllyGoa·
Kila Mtu na MTAJI wake yaaani👌🤸‍♀️
NZUKI🐝 tweet media
Indonesia
17
12
174
0
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Mapalyandas. Tume nimeisikia. Nitalipa kisasi ndani ya saa 24. Kumanyoko.
ProsperNow. tweet media
Filipino
34
18
330
18.3K
Joyce Evaristi
Joyce Evaristi@JoyceHuru·
Chande ni Mzazibar ulitegemea nini?
9
10
80
4.4K
Dr. Chris Cyrilo
Dr. Chris Cyrilo@DrCyrilo·
Walioua watanzania Oktoba 2025 sasa hivi wanakunywa bia na nyama choma. Wapo salama, hakuna wa kuwagusa, mamlaka zinawaoenda. Sasa wanaapa yakitokea maandamano hata madogo tu wataua zaidi kwa hasira walizonazo za kusemwasemwa vibaya mitandaoni.
Dr. Chris Cyrilo tweet mediaDr. Chris Cyrilo tweet media
Filipino
5
30
131
3.1K
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
Kuanza 12 OCTOBA hadi 28 OCTOBA Kuna watu waliwekwa mahari kupewa mafunzo ya kushiriki ghasia. 🙆‍♀️
Indonesia
19
24
50
3.8K
NZUKI🐝
NZUKI🐝@AllyGoa·
Kwamba Hakuna Intelijensia??😂 basi tuko wazi
Indonesia
0
0
0
18
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Chriss alisema yeye anajua October kulikuwa na mapinduzi ya nchi , ina maana haya ndio CCM waliambiwa kwamba nchi ilikuwa inapinduliwa Chriss anasema wana CCM wanakamata Watanzania wote waliopo nje ya nchi Yaani kuteka akamtaja @Liberatus80 ambaye yuko Marekani kwamba yeye Chriss anaweza mkamata kivipi? ni utekaji Chriss yuko @UKinTanzania akifanya capital flight kutoka Uingereza kuja Tanzania akiwa amejiweka kama Mwingereza Ni moja ya watanzania ambao CCM wanajua ana passport ya UK lakini wamemruhusu kufanya biashara kama Mtanzania na kumiliki ardhi Kwa nini Chriss anaruhusiwa haya? Sababu ni mtekaji wao kama alivyosema kwenye video, na alijua kilichotokea October ni mapinduzi
Indonesia
12
33
250
39.1K
NZUKI🐝
NZUKI🐝@AllyGoa·
@MK47TA Mbona kama mna majibu tayari mmeyatoa wapi?😂
Indonesia
0
0
0
19
MK47TA
MK47TA@MK47TA·
JAJI CHANDE CHUMA KILICHOSHINDIKANA NA MWISHO WA PROPAGANDA ZA KITOTO Leo tarehe 23 Aprili, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman anakabidhi ripoti inayokwenda kuzika rasmi upotoshaji kuhusu matukio ya Oktoba 29. Jaji Chande siyo mtu wa kuyumbishwa ni nguli mwenye uzoefu wa kimataifa aliyebobea kwenye uchunguzi na sheria za haki za binadamu. Anakuja na ukweli wa kitaalamu, siyo ramli za mitandaoni. Tume yake imefanya kazi kwa uhuru na weledi wa hali ya juu. Ripoti hii inakuja kumaliza utata uliokuwepo kuumbua wapotoshaji na kuliunganisha taifa letu. Wale waliozoea kupandikiza chuki na kutengeneza simulizi za uongo kwa ajili ya kiki za kisiasa leo ndiyo mwisho wenu. Jaji Chande hapokei ngano za vijiweni anatoa ukweli mchungu uliothibitika kisheria. Watanzania tuwe watulivu ukweli unaenda kuwekwa hadharani na kuliweka taifa huru dhidi ya propaganda za kilaghai.
MK47TA tweet media
Indonesia
30
29
32
2.8K
Nicolas J. Clinton Gabone
Nicolas J. Clinton Gabone@Nicolasgabone·
Kesho Jaji Chande anawasilisha ripoti. Lakini je, Tume ilimhoji Rais, mwenye dhamana ya vyombo vya ulinzi na usalama vinavyotuhumiwa kwa mauaji ya raia? Bila kuwajibisha chain of command, ukweli utakuwa kamili kweli? Ukweli, haki na uwajibikaji lazima viende pamoja.
Indonesia
3
9
34
3K
Connor Humm
Connor Humm@TikiTakaConnor·
Burnley playing with a Barcelona high line against Man City. When do teams ever do this against Arsenal
English
274
411
7.7K
1M
NZUKI🐝
NZUKI🐝@AllyGoa·
@EsirEid Mtu kashaambiwa wanakarata mpya Vita ikianza hapo anahaha kuijua karata😂😂
Filipino
0
0
0
128
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Dj choka anagonga dialysis 🙌🏼
Filipino
52
28
562
86.6K
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
WANAWAKE WAKUTANA NA WANAWAKE WENZAO.
BARADHULI tweet media
Filipino
15
20
35
4.9K
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Tuseme ukweli. Wafanya kazi wa serikali HAWAFANYI KAZI. Ni moja ya kundi la watu linalokula good time katika haya maisha. Sio kweli kwamba madaktari hawapo. Wapo ila kila huyo ni mkubwa na wana siku zao za kazi. Mtumishi wa kata nae anabiashara zake( mara ana ki gari anaendesha siku nzima) Mwalimu anafundisha kidogo anachukua probox yake anaenda kupiga hela. Serikali ina usimamizi hafifu sana juu ya watumishi huko makazini. Huko halmashauri watu wanakula maisha tu.
Filipino
91
70
708
37.5K
NZUKI🐝
NZUKI🐝@AllyGoa·
@angelish17 Hata mimi ningepata hela ningeenda kuliagua hili deni
Indonesia
1
0
4
1.9K
Angel17💞
Angel17💞@angelish17·
Watu wana moyo
Angel17💞 tweet media
Indonesia
30
10
237
43.2K
millardayo
millardayo@millardayo·
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana, Joel Nanauka amesema serikali inaendelea na utafiti wa kuanzisha Benki ya Vijana itakayolenga kutoa huduma za kifedha zinazokidhi mahitaji ya vijana Nchini. Amesema hayo wakati akiwasilisha hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/27, akieleza kuwa hatua hiyo inalenga kuweka msingi imara wa taasisi maalum ya kifedha itakayowawezesha Vijana kupata mitaji kwa urahisi. “Dhamira ya Serikali ni kuweka msingi wa mfumo wa kifedha unaoendana na mazingira na uwezo wa vijana wengi, hususan wale wanaoanza shughuli za kiuchumi, ili kuondoa vikwazo vilivyopo katika upatikanaji wa mitaji. Benki ya Vijana, itakayoanzishwa, itakuwa chombo muhimu cha kimkakati kitakachowezesha upatikanaji wa huduma za kifedha zilizo rafiki kwa vijana, kuchochea ubunifu wa bidhaa za kifedha zinazolingana na mahitaji yao, kupanua wigo wa uwekezaji wa vijana, na hatimaye kuongeza ajira na mchango wa vijana katika kukuza uchumi shindani na jumuishi wa Taifa,” Mhe. Nanauka - Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Maendeleo ya Vijana. #MillardAyoUPDATES
Indonesia
26
3
65
8.2K
NZUKI🐝
NZUKI🐝@AllyGoa·
@Jeba_OG Ode timu yake inaongoza ligi na ipo Nusu Uefa 🍌
Indonesia
1
0
0
284
🍁
🍁@Jeba_OG·
Wazee vipi mmeona umuhimu na utofauti kati ya Ødegaard na Bruno Fernandes?
Suomi
11
10
158
3.9K