c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️
1.9K posts

Sabitlenmiş Tweet

@HabariTech The app is not opening on my force (error : app keeps stopping)
English

Nimekuwa busy kutengeneza App ya AkibaPlus mpaka nimesahau kuna HabariDuka na X 😁
App iko tayari na APK inapatika hapa akibaplus.habaritechnology.com
Sasa nipitie timeline kuona yaliyojiri.
Hizi ni baadhi ya screenshot za ndani ya app.




Indonesia

@Mastown_ VAR checking imeona hii ni AI kwanini utudanganye siunge edit hivyo vidole mkono wa kulia kwako😁😂🙌

Indonesia
c♄ꞄÍşߙ⚉𝖕♄eꞄ 🎃⛓️🕯️ retweetledi

Kuanzia kumiliki pesa nyingi, magari ya kifahari, nyumba ufukweni, biashara, safari za nje ya nchi, freedom na mengine mengi,
Miaka 10 iliyopita aliweza kuzungumza vitu vyote atakavyovifanya kwenye maisha yake live pale youtube,
Then akaweza kuvifanikisha,
Kumekuwa na maswali mengi sana juu ya mambo anayoyafanya, footprint na ukweli wa mafanikio yake,
Ukweli ambao watu wengi wamekuwa wakiogopa kuuliza hata wanapofanya nae podcast/interview,
Lakini kwa faida ya wengi tumeuliza maswali hayo yote from A - Z na kumfanya afunguke vitu ambavyo hajawahi kusema popote pale,
Zaidi ya hapo ameelezea kiundani experience yake ya maisha yote aliyopitia, highs, lows, lessons, namna anavyo-handle pesa, investments, pressure, anavyoweza ku-maintain, kupanga mipango ya muda mrefu na kuitimiza na mengine mengi,
Kitu ambacho kinafanya episode hii kuwa very EXCEPTIONAL na yamoto kuliko mtu yoyote anavyoweza ku-imagine,
Na kufanya tuipe hadhi ya kuiita full MASTERCLASS,
Masterclass ambayo kukupa nafasi ya kuiona for free ni upendeleo mkubwa sana,
Na impact ya masterclass hii itaacha, value, information na alama kubwa sana kwenye maisha yako,
Kutazama full episode click link kwenye bio au search Let’s Impact Millions pale YouTube, subscribe na turn on notifications,
👇👇👇
youtu.be/LBTv0eB0m5c?si…
Tukifika subscribers 15,000 (Only 700 to go) tu tuna-release official episode,
OUR MISSION IS TO IMPACT MILLIONS.

YouTube
Indonesia

@KijanaWaHovyo69 @mrix_07 @maluu_captain Yuko sahihi ni jina la brand iliyokuwa maarufu iliyokuwa inatengeneza aina hiyo ya gundi zamani -> cello tape . Usiconfuse na neno seal tape
Filipino

@mrix_07 @maluu_captain 🤣🤣🤣ndomana tulisema millennials umeme mdogo kichwanj,,sasa cello tape ndo nini?
Indonesia

@MayengoDr @NMBTanzania Hongera, kipato kinatoshereza hata hivyo, sio wale wa mshahara wa kuishia kwenye kulipa madeni
Indonesia

Mwaka 2022 niliandika “standing instruction” kuielekeza @NMBTanzania kukata kiasi cha pesa kila mwezi kwenye account yangu na kumuwekea mama yangu kama “parents allowance”. Leo ni mwaka wa nne, bado naamini ni mojawapo ya maamuzi sahihi niliyofanya!

Filipino

@kalegamyeh @prossoff Niliwahi kuugua hii kitu ila Sina hiv na niliugua kwa kama mwezi mmoja hivi nikapona.
Suomi

Niliwasimulia kuhusu huyu mwanangu aliekuta mkewake ni ameathirika wakati yeye hana then akaendelea kuishi nae. Mnakumbuka?
Mwamba hii kitu imemtokea sijajua kama kaukwaa tayari au niaje.
Alikaa kitandani siku tatu bila kuinuka.
Anachoma sindano yanakauka kauka.

ProsperNow.@prossoff
Naanza kuamini kwamba kuna wanawake wanadawa za kuwashika wanaume wao. Kuna mwanangu mmoja amepambana na mkewake katika kuugua. Mwanamke anaumwa mara kwa mara, baada ya muda akapima HIV akakuta positive. Msela akamuachia geto na watoto, ila now wanakaa pamoja tena. MADAWA.
Indonesia

@mangombe_ Sio muafrika , it depends na hali ya kiuchumi ya huyo binadamu
Indonesia

@___Aiman90 @juliejuleth Shangaa watu wana posting ili wape engagement
Indonesia

@juliejuleth Mtu anawezaje kusema ajira ngumu km hajafanya applications kila post za kazi na bado hapati?
Indonesia

@patrick_forreal @YesayaSoftware Mimi nakubaliana na Yesaya , japo ka generalize sana , ila ukija ukiongelea MFANO coding , kama uko sambamba na hizi modal zinavyoprogress , utagundua it's a matter of months or few years hayo yatakuwa fixed.
Filipino

Kaka @YesayaSoftware, kusema kwamba "with AI unaweza kuwa chochote unachotaka" ni bold statement sana.
Lakini ukweli ni kwamba THIS IS NOT TRUE.
I will tell you why...
Naelewa uko kwenye tech business, so I will be technical kidogo meanwhile nikijitahidi kuwa rahisi kwa kila mtu kuelewa.
Tuanze na swali rahisi: Unajuaje mtu anapokudanganya?
Seriously how?
Ni kwa sababu una "version ya ukweli" kichwani mwako. Unapo-compare unachoambiwa na unachojua, unaona utofauti. Hivyo ndivyo unavyojua huu ni uongo. Kama huna "Internal Truth" huna uwezo wa kutofautisha ukweli na uongo. Unakuwa mateka wa kile unachoambiwa.
Hapa ndipo kauli yako inapofeli: AI (LLMs) they are not intelligent; not for a single bit.
Ni machines ambazo zipo vizuri sana kwenye kutabiri neno linalofuata (Probability).
Kuiambia AI ifanye kitu na ikakifanya, haimaanishi imekifanya kwa usahihi. Kama huna ujuzi kichwani (knowledge AKA "internal truth"), huwezi kujua kama AI inakupa suluhisho "sahihi" au inakupa "code slop" that kind of looks good.
Kwa @Master_pizo: Hongera kwa kutoa app ya Flutter bila kujua code. Ila kutoa app bila kujua code haikufanyi kuwa "Developer."
Kwa nini?
Kwa sababu huna uwezo wa ku-verify kama hiyo app ilitengenezwa kwa usahihi.
I will give you an example...
Unajuaje kama hiyo app iko secure? What if the AI made a mistake and left a vulnerable section on the app?
Kama kesho ikipata watumiaji laki moja, itastahimili ku-scale?
Syntax ya code ni mechanical part na ni rahisi. Engineering ni kuhusu modeling problems, defining boundaries, na ku-anticipate failure modes.
"Kuwa" kitu fulani (Identity) kunahitaji Authority. Bila maarifa, huna authority juu ya unachozalisha; wewe ni project manager tu, siyo engineer.
Kuna kitu kinaitwa Jevons Paradox: Kitu kikiwa rahisi kuzalisha, matumizi yake yanazidi na complexity inaongezeka. Hii ni kwasababu instead of doing less as we thought we would, now we do even more.
AI inapunguza "effort", lakini inaondoa "mental simulation", ile misuli ya ubongo inayokusaidia kuelewa kwanini mfumo unafanya unachofanya. Bila hii, huwezi "kuwa" mtaalamu kwa sababu huwezi ku-reason kuhusu matatizo magumu juu ya hicho unacho tengeneza.
In a nutshell: AI ni nzuri kwa prototyping na building a quick MVP, lakini huwezi kuwa chochote unachotaka kwa sababu tu una AI, atleast not yet. AI ni "multiplier of ambition" lakini siyo mbadala wa utaalamu. Ukweli ni kwamba AI inahitaji binadamu mwenye "ukweli" wake kichwani ili iwe na tija. Bila ujuzi, AI haikufanyi kuwa mtaalamu, inakufanya tu uwe muumini wa mashine unayoiamini kwa upofu. Coding isn't solved; it just got noisier.
Yesaya Software 🇹🇿@YesayaSoftware
@patrick_forreal Leta ukweli wako tujenge hoja. Au chochote umechukuliaje? Nilimaanisha unaweza itumia kwa kila sekta na kurahisisha na kuboresha majukumu yako. Ninaweza nisiwe na ujuzi fulani kupitia AI ikaniwezesha kufanya mambo kadhaa na yenye tija. Haya karibu tupe ukweli wako.
Filipino

@Prioh_360 Actually sio traders wa bongo , most traders around the world😂
English

Mshkaji “Rashidi” kapata mwanamke mkristo, mdada kamjuza Rashidi mapema Hunioi ukiwa muislamu hvyo Rashidi kafikiria akasema we usitanie mi nishapenda Chidi chap akabadili dini from Muislam → Mkristo akaitwa Kelvin.
Ndoa ikafanikiwa✅
Maisha ya mume na mke yakaanza baada ya mwaka na miezi kadhaa Kevi kaachwa na mkewe, kabaki alone
Kevi baada ya kaachwa kang’ang’ania kurudi tena uislamuni, ana maskhara na dini huyu kijana..
Sahz kasharud kwny uislam tena na jina lake ni Chidi lile lile.
Chidi anaonekana hana msimamo kabsa huyu anaonekana hata kwny FX trading hawez shikiria emotions zake kabsa atakuwa anaingia kwa matamanio tu na sio nn soko linamtaka afanye au mnasemaje wazee wa charts🙂
Mwamba Chidi alihama dini kisa mwanamke, aliamua bila kufikir akaingia kichwa kchwa yaliyomkuta ni kuachwa.
Mapenzi💔
Indonesia

@YesayaSoftware Things have changed, shift iliyotokea ni kubwa sana, normal coding will actually disappear in coming years, we imagine kuandika each line of code saiv , it very feels slow ,
English

@HabariTech Yah , anthropics wako vizuri sana especially opus , sema ni kwasababu wamebase sana kwenye coding , ila chatgpt WAPO potepote na wako vizuri nyanja nyingi
Filipino

@richardmaphie @Bigsyke20 Jambo Moja la kijinga ni kukwepa kujadili Mambo , sababu kubwa ni ipi ? Na wakati huko ndio mtu ANAWEZA kujifunza kitu kwa undani (kwa kuuliza maswali yanayomtatiza) Sasa bila hivyo unaweza kukaa na kumelekeza mtu kweli akikuuliza swali utamjibu , mna mentality gani nyie watu? 🤔
Indonesia

@Bigsyke20 yapo mamb Mengi ya kujadili na kukosoa ila Si maandiko kitawalamba
Indonesia

Kama huyo mtu mzima anaamini kwamba watu zaidi ya 5000 walikula samaki 5 na vipande viwili vya mkate na wakasaza, mtu anaamini Yona alikaa kwenye tumbo la samaki kwa siku tatu na akatoka mzima?
Je, unaona huyu mtu ana akili sawasawa?
Siwezi mshangaa mpumbavu akifanya mambo ya kipumbavu kama kuungama.
Indonesia

@SaumuYanga @francismtey Sawa, ninachomaanisha haujachanganua chochote hapo. Na usiwe offended na kila kitu , piatia ulichomjibu huyo , unaweza ukaelewa mapungufu au uaweza usielewe ni kuchagua tu.
Indonesia

@DeDaniel13 @francismtey Sasa ulitaka nitengenezo wazo kupitia matako au? Hio kichwa yenye akili ulipewa ya kazi gani if hauwezi kuchanganua
Indonesia


Alright. So, my AI assistant is now able to:-
- Apply for a business license ✅
- Track its status ✅
- Get the control number ✅
..all from WhatsApp/Telegram.
Works for at least 5 other permits too.
Imagine applying for licenses all from WhastApp and in a chat manner🚀

GG@GIVENALITY
An update before the article: I’m now able to make changes to websites from WhatsApp and have the assist lang push to git and pull from server.. I like it 🚀
English

@Swahiliurbangfx @francismtey Sasa kwanini ujilimit ,swali linataka kujua ,hata kama ni nje ya mfumo, kwa sababu tunaamini , you can't exist from nowhere, la sivyo na sisi tungesema tume exist from no where
Indonesia

@francismtey Kuuliza nani alimuumba MUNGU nikama kumuweka Mtengenezaji wa Compyuta ndani ya mfumo alio utengeneza yeye

Indonesia











