Jivas O. Onyango

241 posts

Jivas O. Onyango banner
Jivas O. Onyango

Jivas O. Onyango

@JivasTechnology

Full Stack Web Developer & Digital Marketer. Building high-performance websites and driving growth with SEO and social media marketing. MKATOLIKI

Tanzania (Mkatoliki) Katılım Haziran 2021
1.9K Takip Edilen390 Takipçiler
Jivas O. Onyango
Jivas O. Onyango@JivasTechnology·
@HecheJohn Hii Barabara mbona haipo Tanzania 🇹🇿, Nina wasuwasi na picha hii
Filipino
1
0
1
147
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Kuna crisis kubwa sana ya Barabara Nchi hii… Kuna ujambazi unafanyika kwenye aina ya ujenzi wanaofanya wachina! Barabara inajengwa nusu mwaka imeisha kabisa imekua kama mashimo ya ng’ombe.. Watu wanahongwa kuhujumu uchumi wa Nchi na kuhujumu wananchi. Barabara ya Tarime - makutano imejengwa miaka ya 90’s bado ina uafadhali kuliko barabara ya Singida to Babati au Dodoma - Iringa za juzi tu.. Ukitoka Mwanza mpaka Bunda unaweza kulia, alafu eti kuna Waziri, makatibu wakuu, wakurugenzi, wakuu wa mikoa , Tanroads sijui na nani!!! Utawala dhalimu umefitinika.
John Heche tweet media
Indonesia
94
249
1.2K
51.8K
Barack Obama
Barack Obama@BarackObama·
Wishing all the moms out there a wonderful Mother’s Day! To @MichelleObama, I’m grateful for all the ways you’ve shown up for our daughters and our family over the years. We love you.
Barack Obama tweet media
English
16.7K
36.4K
619.7K
32.6M
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Hey @didierdrogba Are you aware that you are being used to whitewash an illegitimate murderous regime in #Tanzania ? What are you doing? Visit tanzaniamassacre.org/Massacre Makonda was blacklisted by @StateDept for grave violations of human rights and you are hobknobbing with him? You built an image of fighting for peace and human rights yet here you are washing clean oppressors! You are part of the problem not the solution! We shall not forget! #TanzaniaMassacre Huyu Drogba naye atuondolee unafiki wake! Kama hajui kulikuwa na mauaji jaeni kwenye page zake mwonyesheni mauaji waliofanya hawa maharamia! #SamiaMustGo
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
English
17
203
517
23K
Baba Wawili
Baba Wawili@Mtalii_Mweusi·
@YoungAfricansSC Tunataka Kikosi Kiwe Na Sura Hii Kesho 1. Diarra 2. Yao 3. Zimbwe 4. Bacca 5. Mwamnyeto 6. Duke 7. Max 8. Mudathir 9. Dube 10. Pacomme 11. Okelo Tuletee Usenge Na Shoga Mwenzako Damaro
Filipino
4
0
3
388
Young Africans SC
Young Africans SC@YoungAfricansSC·
Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea katika mchezo huo, Kocha Mkuu wa Yanga, Pedro Goncalves, amesema maandalizi ya timu yetu yamekamilika na tumejipanga tofauti na mchezo uliopita. “Tumekuwa na siku tatu za kujiandaa na tunautazama mchezo huu kivingine kabisa, tutakuwa na mpango mwingine tofauti na ule wa mchezo uliyopita kwa kuwa haya ni mashindano mengine,” Pedro.
Young Africans SC tweet mediaYoung Africans SC tweet media
Indonesia
10
7
229
8.5K
Jivas O. Onyango
Jivas O. Onyango@JivasTechnology·
@Kimbesa11 @eastafricatv Kwani Tanzania 🇹🇿 ina umeme kila eneo, Je Tanzania ina Reli ya umeme SGR inayokwama kila mara unazungumzia. Point za chatgpt unakuja nazo hapa. Caption ya mwisho ujasoma chatgpt can make mistakes check your information
Indonesia
0
0
0
304
kimbesa.
kimbesa.@Kimbesa11·
@eastafricatv Kufuta deni la Taifa siyo maendeleo ni umasikini tupu. Mpaka sasa : Namibia haina ina vyuo vikuu 2 tu. Namibia haina umeme wakutosha Namibia haina reli ya umeme. Namibia haina shule za kutosha Haina madaraja
kimbesa. tweet mediakimbesa. tweet mediakimbesa. tweet media
Filipino
23
1
9
2.3K
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
#HABARI Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, ameiongoza nchi yake kufikia hatua muhimu ya kiuchumi baada ya kukamilisha malipo yote ya deni la Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Namibia imelipa jumla ya dola milioni 23.9, hatua inayotajwa kupunguza mzigo wa madeni ya nje na kuongeza uthabiti wa uchumi wa taifa hilo. Mafanikio hayo yamepokelewa kama ishara ya usimamizi mzuri wa fedha za umma chini ya uongozi wa sasa. Kukamilika kwa deni hilo kunatajwa kuipa Namibia uhuru mkubwa zaidi wa kifedha, huku serikali ikitarajiwa kuwa na nafasi pana ya kuelekeza rasilimali katika miradi ya maendeleo ya ndani. Kwa mujibu wa takwimu hadi Machi mwaka huu, malipo hayo yalifikia dola milioni 23.8875. Namibia sasa imejiunga na baadhi ya mataifa ya Afrika yaliyofanikiwa kufuta madeni yao kwa IMF, ikiwemo Msumbiji. Netumbo Nandi-Ndaitwah, mwenye umri wa miaka 72, ndiye rais wa kwanza mwanamke wa Namibia. Aliingia madarakani mwezi Disemba 2024 baada ya kushinda uchaguzi kwa asilimia 57 ya kura, huku mpinzani wake wa karibu Panduleni Itula akipata asilimia 26. Tangu akiwa na umri wa miaka 14, amekuwa mwanachama wa chama tawala cha SWAPO, hatua iliyomjengea historia ndefu ya kisiasa nchini humo. CC: BBC News; DW Kiswahili #EastAfricaTV
EastAfricaTV tweet media
Indonesia
47
47
707
37.5K
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Tume IMEKWEPA KABISA kuzungumzia; 1. Kwa nini yule BIBI alipelekwa MOCHWARI wakati HAJAFA? 2. Kwa nini watu WALIULIWA MAJUMBANI MWAO?
Peter Madeleka tweet media
Indonesia
23
42
274
8.1K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Hii hapa namba ya simu ya Jaji chande naomba tumpelekee moto mpaka azime simu, ukipiga asipopokea tuma msg. +255 777 511 290
Indonesia
45
173
1.2K
52.3K
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
“Kwa mujibu wa utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi wa mwaka 2021, vijana wameendelea kukabiliwa na ukosefu wa ajira kwa asilimia 12.2 (wanaume asilimia 8.1 na wanawake asilimia 16.1).” - Joel Nanauka, Waziri wa Maendeleo ya Vijana akiwasilisha bungeni Bajeti ya mwaka 2026/27
Swahili Times tweet media
Indonesia
55
6
212
25.1K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Taarifa za ndaaani kabisa zilizonifikia muda huu zinaeleza Uongozi wa Yanga Sports Club umetoa masaa 12 kwa Wilson Uroma kuomba Msamaha mbele ya UMMA juu ya kauli inayodaiwa kuwa ni kashifa kwa Club ya Yanga. "Endapo hatoweza kuomba Msamaha ndani ya muda tajwa hatua za kisheria zitafata” Wakati huo inaelezwa mchambuzi huyo amegoma kuomba Msamaha mpaka sasa akidai hayuko tayari kuomba Msamaha kwa kosa ambalo halijui pia anaushahidi wao tosha✍️ Issu imekuwa serious sana hii🙌
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
14
6
110
15.2K
CINEMAS ANALYTIC 🎬
CINEMAS ANALYTIC 🎬@CinemasAnalytic·
Imebidi nimuulize Grok kutaka kujua Hivi huu upimaji wa mafuta kwa Tani yeye Ameanza kuutumia lini ? Sisi kama dunia hatuutambui, tunajua petrol haipimwi kwa Tani inapimwa kwa Liter na galoni , Sasa girishoni hizo tani yeye anapima nini , maana hata grok ameanza kwa kukataa kwamba petrol haipimwi kwa uzito Repost 560
CINEMAS ANALYTIC 🎬 tweet media
Indonesia
22
37
227
24.9K
kijana jasiri
kijana jasiri@kijanajasiri123·
@Sativa2555 Rudi shule kasome sio kila kitu ambacho hukijui maana yake hakipo upo uwezekano wa kupima uzito wa mafuta mfano mdogo tu magari ya mafuta huwa yanapita mizani unaweza kujua uzito wa gari then ukajua uzito wa mafuta na kwenye soko kubwa la mafuta huwa wanapima uzito
Indonesia
20
0
6
3.3K
Jivas O. Onyango
Jivas O. Onyango@JivasTechnology·
@PMadeleka Kw hata hiyo 600 ni sahihi au UCHAWA umetamalaki kaka 😂😂😂. USD 600 Ndiyo bei ya LITA
Filipino
0
0
0
316
Peter Madeleka
Peter Madeleka@PMadeleka·
Kuna watu WANASHANGAZA SANA. Kila mtu AMEMSIKIA Mheshimiwa Rais 👇 akiongea “LAIVU” kwamba; ni 600 na 800 na SIYO 6,000 na 8,000 na AMEOMBA MREKEBISHE. Lakini, bado kuna watu WANAKOMAA na 6,000 na 8,000 KWA LITA 1. Jamani, ULIMI HAUNA MFUPA.
Peter Madeleka tweet media
Filipino
82
17
289
38.7K
Simba Sports Club
Simba Sports Club@SimbaSCTanzania·
"Hili jambo sio fair sababu kuna timu moja ina wachezaji 13 kwa kutumia mlango wa nyuma. Na aliyedanganya mamlaka kwamba anapewa uraia ili acheze timu ya taifa basi alifanya udanganyifu mkubwa, unampa uraia wa nini tena mchezaji mwenyewe hana hata mwaka Tanzania. Ni jambo serious na sisi tupo nalo serious."- Mwenyekiti wa Bodi, Crescentius Magori. #NguvuMoja
Simba Sports Club tweet media
Indonesia
60
21
471
32.4K
Johari Mshana
Johari Mshana@joharimshana·
Baba yangu, chukua muda ila hakikisha hawa maharamia hawarudii tena kuiweka nchi yetu kwenye rehani ya kijinga! #kanyagatwende
Johari Mshana tweet media
Indonesia
12
20
24
1.6K
Jivas O. Onyango
Jivas O. Onyango@JivasTechnology·
@kibiki001 Na wewe ni CHAWA wa CCM asiye jitambua kabisa na kwa nini ufuatilie asiyejitambua wewe na HECHE na watu wanaweza kumsikiliza, tukitumia hicho kigezo kidgo tu utapata majibu
Indonesia
0
0
1
392
hassan kibiki 🇹🇿
hassan kibiki 🇹🇿@kibiki001·
HECHE NI KIONGOZI WA UPINZANI ASIEJITAMBUA Ngoja nikurudishe darasanj kidogo kuhusu hoja uliyoileta ya kwanini bei ya mafuta ipande ilihali kama Taifa lina akiba ya miezi mitatu. Kupanda kwa bei ya mafuta nchini si matokeo ya kupungua kwa akiba iliyopo, bali kunatokana zaidi na ongezeko la gharama ya kuyaagiza mafuta mapya kutoka katika soko la kimataifa. Hata kama taifa lina akiba ya mafuta ya miezi kadhaa, bei ya ndani huathiriwa na kile kinachoitwa gharama ya kuyapata tena (replacement cost), yaani bei ambayo itatumika kununua mafuta mengine pindi akiba iliyopo itakapoisha. Ni muhimu kuelewa kuwa akiba ya mafuta ina lengo la kuhakikisha upatikanaji endelevu wa bidhaa hiyo katika nyakati za dharura au changamoto za usambazaji, na si kudhibiti au kuzuia mabadiliko ya bei. Bei ya mafuta huamuliwa zaidi na mwenendo wa soko la dunia, ikiwemo mabadiliko ya bei katika nchi zinazozalisha mafuta, gharama za usafirishaji, pamoja na thamani ya fedha za kigeni. Kwa mantiki hiyo, kupanda kwa bei ya mafuta si lazima kuashirie uhaba wa bidhaa hiyo, bali ni sehemu ya athari za moja kwa moja za mabadiliko ya kiuchumi katika soko la kimataifa. Hivyo, hatua za kupinga mabadiliko ya bei bila kuzingatia hali halisi ya soko ni kukosa elimu ya uchumi.
hassan kibiki 🇹🇿 tweet media
Indonesia
79
8
27
13.2K
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
Kwa utafiti wangu niliufanya tangu 2026 imeanza nimebaini Kanisa Katoliki litapoteza waumini wengi kwa miaka 10 ijayo na sababu ni hizi. ✍️ Hawatoi huduma za uponyaji na miujiza ✍️Wanajichanganya sana na siasa ✍️ Kupunguza viwango vyao vya ufaulu. ✍️ Kuongezeka kwa Manabii
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Indonesia
203
10
102
29.6K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Magufuli aliwahi kusema haya kuhusu Angela Kizigha.
Indonesia
28
144
970
33.9K