Bepari
11.6K posts


@PolycarpMDM Taifa la Rwanda ni dogo kwa geographia na lina population ndogo ni rahisi kusimamia sheria kwenye kundi dogo, sehemu kubwa za barabaran wamefunga camera, so ukiendesha gari unakuwa unaonekana na camera kila mahali, 2023 nilikuwa Rwanda niliona watu wanavyotii sheria barabaran.
Indonesia

Nchini Rwanda,
Ni Rais, Waziri Mkuu na Spika wa Seneti pekee walio na haki ya kipaumbele barabarani, yaani ruhusa ya kutumia njia maalum.
Mawaziri hulipia magari wanayotumia kupita katika Barabara hizo na kukatwa kutoka kwenye mishahara yao.
Waziri mmoja aliwahi kutozwa faini ya dola 50 kwa kosa la kuendesha gari kwa mwendo wa kasi kupita kiasi.

Indonesia

@Cylierpius @SimbaSCTanzania Umeuliza mara ya mwsho hayo ya ligi yametoka wapi?
Indonesia

@SimbaSCTanzania Hivi mara ya mwisho kumfunga yanga ilikuwa lini
Indonesia

@JumaAyoo Kwa hiyo Ukiwa Huna Kiwanja Hauruhusiwi kukosoa? TFF kiwanja chao ni kipi? Mbona kutwa wao ndio wanakosoa viwanja. Viwanja majority either ni Vya serikali ama ni vya CCM. Ingekuwa sisi tumewapeleka matopeni wachambuzi/mashabiki/machaea mngekuwa advocates wa kutetea taasisi yenu🤣
Indonesia

@Skinny36479503 @InnocentJLS Upate mume akutulize maana kila post unajichekesha
Filipino

@InnocentJLS lisu huwaga ni mkorofi sana,alitupotezea mda kwa jambo ambalo alijua hati ipo,,mi nadhani ccm wampe kacheo kidogo,hata ukuu wa wilaya,maana hataacha vurugu mechi🤗😂
Indonesia

@kidiish @SokoMoko__ @Rahim_Meghji Pia kila miaka inavyoenda gharama za ukaguzi wa gari kwa mwaka zinaongzeka ndo maana weng wanaopt kufany topup au kuuza ili anunue jipya ambalo ni bei ndogo kwao
Indonesia

@SokoMoko__ @Rahim_Meghji Waambie pia kuna nchi zina limit ya muda gari kutumika mfano 10 years.
Unakuta gari ni ya 2015 ila ikifika 2025 hairuhusiwi kutumika tena kwenye nchi hiyo. So unakuta mwenye gari hana route nyingi lazima km ziwe chache.
NB: sio kila km ndogo imefanyiwa rollback ya odor meter
Indonesia

@MakulaJr_ @IAMartin_ Kama unataka ibada ya kweli upo sahihi lakini kama unataka uchanganye na siasa au mambo ya dunia kidogo ya mungu kidogo nenda RC kanisa langu limejitenga kabisa na siasa halitaki kuhusika kabisa na siasa japo huko nyuma manabii mbali mbali walikemea baadhi ya mataifa mfano amos
Filipino

Kwa viwango vyote vya kidunia, Yaani hata Malaika na Mitume na Maswahaba wote watoke mbinguni leo kisha Waulize nani alihusika na jaribio la mapinduzi la 29 October 2025? Jibu lao la kwanza itakuwa ni CHADEMA kwa mazingira yoyote, kisha wataanza kutajwa wengine huko. Haitakuwa Chadema pekee yao, lakini ni lazama watajwe Chadema.
Hivyo tusubiri ripoti ya Jaji Chande kesho itatueleza walihusikaje, maana suala la kuhusika linajulikana walihusika, sasa tunasubiri walihusikaje tu. Na tutapokea mapendekezo ya adhabu kwamjibu wa sheria ya vyama vya siasa kwa Chadema na kwamjibu wa sheria ya uhaini kwa viongozi wao na yeyote aliyehusika.
Lazima hili litibiwe lisije jirudia kwa aina yoyote!
Indonesia

@kissamosulleysh @Adventure_36 Huyo mkurugenzi kaizerege hizo sio basi zake za kwanza kununua.
Ila huwa anazipeleka shuleni kwake kwa ajili ya usafiri wa wanafunzi
Filipino

@PabloYende Hizo show za anazosepa na Kijiji ni mkusanyiko wa Wasaniu wengi kwenye Show ambao kila msanij ana watu wake
Hana ubavu wa kujaza hata uwanja wa Kijitonyama pale linapofanyia TOT Bonanza
Indonesia

#TajiriLaKihaya
Kiongozi mpya wa kiroho wa Iran, Mojtaba Khamenei, amesema kuwa amebatilisha kanuni zilizowekwa na baba yake, Ayatollah Ali Khamenei, kuhusu suala la silaha za nyuklia. Amesema kuwa kuipatia Iran silaha za nyuklia ni suala la uhai na si jambo la kujadiliwa.
Aidha, alisisitiza kwamba katika dunia inayotawaliwa na mabavu badala ya sheria, njia pekee ya kujilinda dhidi ya wavamizi ni kuifanya Iran kuwa na silaha za nyuklia.
Mojtaba Khamenei pia alisema kuwa maadui wa Iran wanapaswa kutambua kwamba nchi hiyo ina uwezo wa kujipatia silaha za nyuklia ndani ya siku chache ikiwa italazimika, na inadaiwa kuwa ameagiza Walinzi wa Taifa wa Iran kuandaa silaha hizo kwa muda mfupi.
Kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Iran, Islamic Republic News Agency (IRNA), nchi za Russia, China na North Korea zimeahidi kutoa msaada na uungwaji mkono wa haraka kwa Iran katika juhudi za kujipatia silaha za nyuklia.

Indonesia

@liquidatorXz @francismtey Hakuna nchi ya Afrika iliyowahi kutengeneza ndege ikafanya safari zake duniani, hiyo haimaanishi kwamba wazungu hawawezi hao jamaa wana akili nyie endeleeni kuibiana nyeti.
Indonesia

@francismtey Hakuna mtu aliyeweza vuka ozone hawa ni matapeli tuu
Indonesia

@millardayo Wale waliokuwa wanafanya comparison na bara hii hawasomi
Filipino

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) leo April 8 imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zitaanza kutumika rasmi kuanzia kesho Alhamisi April 9 2026 ambapo bei ya Petrol imeonekana kupanda hadi kufikia shilingi 3,500.
Bei mpya zilizotangazwa leo ambazo zota kwa pamoja zitaanza kutumika kesho Petroli kuuzwa shilingi 3,500 kwa lita kutoka bei ya awali ya 2,942, Dizeli 3,500 kwa lita kutoka bei ya awali ya 2,952 na mafuta ya taa yakifikia shilingi 3,500 kutoka shilingi 2,900 bei ya awali. #MillardAyoUPDATES

Indonesia

@Samalentips @HNyerembe Kwa akili za kutegemea Grok ndo unashupaza hiv shingo daah, umeambiwa hakuna sehemu wala soko linalotumia hicho kipimo kama alivyosema huyo bdo umekaza kifuniko cha meno
Filipino

@HNyerembe Sasa kwanini unasahihisha post ambayo grok ameshakwambia kuwa iko sahihi?? Mkiambiwa someni msiwe wabishi
Filipino



























