covid-19 🇨🇽🇷🇺❤️🇹🇿

5.5K posts

covid-19 🇨🇽🇷🇺❤️🇹🇿 banner
covid-19 🇨🇽🇷🇺❤️🇹🇿

covid-19 🇨🇽🇷🇺❤️🇹🇿

@aboche2015

legal n industrial metrology consultant Electrical technician💡 Businessman. Mpenda haki Responsible Dad

Katılım Temmuz 2015
2.7K Takip Edilen1.2K Takipçiler
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hivi hizi pikipiki zilikuwa zinaitwaje?🤔
kasesco☆ tweet media
Indonesia
163
51
556
35.8K
covid-19 🇨🇽🇷🇺❤️🇹🇿 retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Hawa ndio madogo MADELU anataka walipe madeni ya mikopo ya BOOM waliyokopeshwa?😅😅
Filipino
20
110
668
25.1K
covid-19 🇨🇽🇷🇺❤️🇹🇿 retweetledi
Burnley FC Women
Burnley FC Women@BurnleyFCWomen·
Kirstie and Jade walk us through the Women’s return to the Turf. See more in the latest episode of Limitless, only on X.
English
1
2
48
348.8K
African Hub
African Hub@AfricanHub_·
Mention one thing you know about South Africa
African Hub tweet media
English
401
29
188
29.5K
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿
Kuna wakati tunakuwa watumwa wa simu zetu wenyewe. Unaacha simu nyumbani kwa masaa 3 tu; Lakini kule uliko unapata stress ukidhani utapoteza mchongo!! Unarudi unaikuta simu haina Ujumbe wala simu iliyopigwa.
Indonesia
3
10
65
2.6K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hivi unaweza kula chakula mazingira machafu kama haya kweli..
kasesco☆ tweet media
हिन्दी
197
38
310
24.9K
Sammy Awami
Sammy Awami@awamisammy·
Ukiskia neno 'serikali' unaweza kudhani kwamba wanajua kila kitu wanachokifanya. Kumbe.....
Indonesia
21
154
568
12.8K
covid-19 🇨🇽🇷🇺❤️🇹🇿
@zittokabwe @franklin_tissa Binafsi huwa napata shida sana kuelewa pale jambo linapoamuliwa na serikali baada ya kushauriana na taasisi zake halafu sisi wananchi ktk kutafuta unafuu wa kero na kalaha za jambo husika tunaiomba serikali hiyo hiyo ambayo kimsingi ndio iliyotuletea hilo tatizo.
Filipino
0
0
0
585
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
Leo tumeamka na bei mpya ya mafuta. Bei tuliyoitegemea kufuatia mashambulizi yanayoendelea ya Marekani na Israel dhidi ya Iran. Kama ilivyo sehemu zote duniani bei imepanda sana na gharama za maisha zitakuwa kubwa sana. Serikali isaidiane na wananchi kubeba gharama hizi. Serikali iondoe tozo, kodi na ushuru katika mjengeo wa bei ya mafuta ili kumwezesha mwananchi kupata nafuu.
Indonesia
107
47
540
49.7K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Mimi; Dar to kigoma
kasesco☆ tweet media
Lietuvių
97
37
186
9.2K
BARADHULI
BARADHULI@Baradhuli2·
Hali ya @MariaSTsehai ni mbaya amekuwa mtu wakufanyiwa kila kitu yani hata kikombe kunyanyua cha chai ni kazi. Pray for her.💔
BARADHULI tweet media
Indonesia
68
28
154
31.5K
Steff Gariho
Steff Gariho@SteffGariho·
What was your Primary School's Motto ??
Steff Gariho tweet media
English
172
46
228
8.6K
Big 0047
Big 0047@BigOO47·
Wakali wa Location hapa ni wapi?
Big 0047 tweet media
Indonesia
43
27
148
11K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Ukiachana na Mwananyamala, Mwanaidi, Mwanamalundi ni Mwana gani mwingine unamfahamu..? 😂
Filipino
117
35
255
12.6K
Stay with God
Stay with God@StayWithGod111·
Psalm 91 Prayer of Protection.
English
2.8K
4.1K
20.6K
153.6K
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Kwenye Nchi Kama hii, inaonesha ujambazj unalipa, kuliko kufanya kazi kwa bidii na kwa nidhamu!!!! Walipa kodi watoto wao wanasomea hapo. Hiyo ni shule imepigwa picha jana huko Tanga. ukiacha tu ubora wa hiyo Elimu yenyewe, angalia mahali wanaposomea, yaani mazingira ya kufundishia na kujifunzia… Wakati mtoto wa mlipa kodi anasomea hapo, kuna eti kiongozi wa serikali anatumia gari ya thamani ya 1.5 bilioni… ukimwambia atoe maelezo ya namna alivyopata pesa ya kununua gari hiyo hawezi kusema… Hawa ndio wako tayari kuua maelfu ya watu ili kulinda uchafu huu, wako tayari kuteka na kupoteza kila anaehoji kwa nia njema kuhusu Nchi yetu… tusinyamaze, Tutashinda
John Heche tweet mediaJohn Heche tweet media
Filipino
85
316
1.6K
60.9K
Mnigajia
Mnigajia@nicomwaih·
#FreeBuyombe tunamtaka uraiani maana sio mtekaji ni raia mwema.
Mnigajia tweet media
Indonesia
1
1
10
242