Sabitlenmiş Tweet
Heroes
13.1K posts

Heroes
@ejheroes
We need to change everything that makes us to be negative,
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Aralık 2019
1.7K Takip Edilen623 Takipçiler

@Thommunkondya Kupata mshangazi ni kujiuza?? Siyo unaingia kwa vigezo vyote?? Au hujui vigezo vya kupata mshangazi
Indonesia

@ejheroes 😂😂😂 acha basi unafayaje fanyaje mzee kwamba uanenda kujiuza
Indonesia

@AlfaCharles9 @Mudimabiriani Ndio kipindi cha kupimwa IMANI na mwenyenzi MUNGU. Huwa naamini maisha ya Ghafla nyingi sana haijalishi una utajiri kiasi gani kesho ni fumbo kubwa yenye siri kubwa anayeijua MUNGU. Huwa nasema kila mtu atapita jangwani kabla ya kuwa mtu mkuwa, wachache ndo hutoka hapo.LET PUSH👊
Filipino

Life ndugu yangu Biashara nikafunga sema sikurudi nyuma nikapambana nimeanza maisha mapya Dubai
Kuna kupanda na kushuka 🥹
nilipitia kipindi kigumu mpaka nakosa hela ya kula sema sikuacha kuwa karibu na mungu akafanikisha siunajua mungu sio mchoyo ❤️🤲🫶🏾
Nodumehlezi 🇿🇦@Zuluprince11
@Mudimabiriani Bro, uliweza vipi kuiacha brand yako kubwa na ilikua hit,? What happened?
Indonesia

@BarakaMaviatu Kuna vitu unaona haviwezekani lakini wenzetu wanafanya viwezekane, ndio maana naheshimu sana kitu kinaitwa Elimu🙌
Indonesia

Hela inaharibu watu, siku utayopishana na ndugu zako ni siku mmeanza kupata hela.
Hamuwezi gombana mkiwa kwenye msoto. Watu hua wanaishi wote kipindi maisha yakiwa magumu kwa upendo sanaa, subiri siku hela ikianza kuonekana.
Utashangaa kuona tabia ambazo hujawahi kuziona.
Assenga Jr@assengajrr
Wabongo we waambie tu waunde vikundi vya kufa na kuzikana kwa ajili ya rambi rambi. Ila vikundi vya maendeleo aah.. akati mkiamua tu mchange laki kila mwezi mkiwa 20 kwa mwaka mnakusanya milion 24. Milion 24 mkianzisha project ndani ya miaka 3 mnaweza tengeneza mamilioni.
Indonesia

Wengine wanabeba vitu vizito binti.
Niffer💕@NifferSancho_
Dear men, acheni kuvaa bukta za team za mipira kama boxer….
Indonesia
Heroes retweetledi

@Sharb84 @ayubu_madenge Mwaka jana, Trump alisema walipeleka Ndege vita kwenda kushambulia vinu vya Nuclear vya Iran, akamaliza kazi.
Leo anaulizwa, kwahiyo kwasasa mnashambulia nini, hana majibu.
Indonesia

@glorynnah @ejheroes Nimeshangaa, wakati nlikua natafuta kanyumba ka dogo hata 250,000😂😂
Filipino

Huu uwanja tukipiga hesabu gharama iliyotumika kuufanyia "upgrades" (sio matengenezo) kwa angalau miaka 10 nadhani tunapata viwanja vingine viwili vya kuingiza mashabiki 20,000 kila kimoja.
The Citizen Tanzania@TheCitizenTz
Mkapa Stadium to close for final Afcon 2027 upgrades thecitizen.co.tz/tanzania/sport…
Indonesia

@ejheroes @ringia_adelah Makongo sahv 2bedroom hupati bila 1m 😂😂😂 hii nchi ni balaa
Eesti








