VENANCE M

69 posts

VENANCE M banner
VENANCE M

VENANCE M

@venancisco

Katılım Nisan 2010
293 Takip Edilen24 Takipçiler
Joh 🤴
Joh 🤴@Joshimself70·
@ze_mandevu Ni bora ufanye kazi tanzania kwa kudhulimiwa ulipwe 500,000 Kuliko kwenda kufanya kazi somalia kweny haki ulipwe 5,000,000 kwa mwezi apo ndo logic zinapoanz kuingia
Indonesia
3
0
2
1.5K
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Tuelekezane tu kwa akili ya kawaida, ni kweli Amani ni muhimu kuliko haki?🤔
The mandevu tweet media
Filipino
443
142
1.3K
59.5K
uncle_tucchi
uncle_tucchi@cletucchi_08·
@Sativa255 Kweli Kenya utasema kuna democracy ila kuandamana andamana tu kusababisha ghasia za hapa na pale ni ujinga japo kusababisha watu waandamane ni upuuzi ..Ghasia huwa siyo nzuri maafa huwa ni makubwa sana Hili desa siyo la kuchukua chukua tu kisa limetoka mbele
Indonesia
9
1
15
7.7K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Tazama jinsi wananchi kupitia mtandao walivyoweza kujua ASKARI alieuwa mwananchi kwenye maandamano huko KENYA. Mwanzo jamaa alivaa Mask & CAP kujificha kabisa sura yake wakati anafanya mauwaji kwa kijana ambae alikuwa anauza MASK kwenye maandamano. Wananchi wakaanza msako. Maandamano ya kenya yanavyofanyika huwaga vyombo vya habari vinakuwaga LIVE na wananchi wanakuwaga LIVE huko Tiktok. Hata video ya mauwaji imepatikana kwa moja ya wananchi aliekuwa LIVE kupitia TIKTOK. So kilichofanyika watu wakaanza kupitia upya YOUTUBE video za maaandamano- kuna wakati askari walikuja kutoa taarifa kuamrisha wananchi watawanyike. Jamaa alionekana ila sio katika ANGLE ya kumtambua vizuri. Kuna wakati gari za polisi zilikuwa zikizunguka kutawanyisha watu jamaa akaonekana tena. Angle haikuwa nzuri sana. Akaja kupatikana video nyingine akiwa kwenye GARI sura yake yote ipo wazi akiwa na kofia. Video haikuwa na quality kwahiyo hakuonekana vizuri. Thanks to AI akasafishwa PICHA YA SURA YAKE ikapatikana kwa uzuri. MUUWAJI KAPATIKANA. Wakenya wanasema wanataka wapewe namba yake ya simu na nyumbani kwake anapoishi leo HAWATALALA. Wabongo mnachukua Notes?😁🫵🏾 TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet mediaSIR TIVA tweet mediaSIR TIVA tweet mediaSIR TIVA tweet media
Indonesia
23
93
698
61.4K
Ado Shaibu
Ado Shaibu@AdoShaibu·
Kila hatua kwenye mapambano ni darasa. Mwaka 2020 upinzani "ulipewa" majimbo 8 pekee. Nusu ya hayo (4) ni ya ACT Wazalendo na yote yanatoka Zanzibar. Kazi yetu ni kuzuia yaliyojitokeza mwaka 2020 yasijitokeze. Sio kazi nyepesi. Ni kazi ya kufa na kupona. Lakini hatupaswi kukata tamaa
Indonesia
16
0
15
4.5K
Ado Shaibu
Ado Shaibu@AdoShaibu·
Uncle @Sativa255 nimeona mjadala dhidi ya Kampeni yetu ya OKTOBA #LINDAKURA mjadala ambao wewe umeyoa mchango mkubwa kuuchochea. Mimi napenda mijadala ingawa majukumu ya ukatibu yananibana. Wewe ni 'familia' kama ulivyosema. Naomba nikupe siku ya leo tuongee hapa. Una maswali gani? Nitakujibu kadiri ya muda utavyoruhusu lakini leo nitakupa muda hapa tuongee. Haya twende kazi kwenye huu uzi.
Indonesia
55
14
237
63K
VENANCE M
VENANCE M@venancisco·
@kaji_sijo Uzuri ni kwamba dunia imekua kijiji... Idadi ya vifo na madhara yalliyotokea Israel haiko bayana kwakua vyombo vya habari vyakimagharibi vina toa takwim za uongo
Indonesia
5
0
9
2K
Kaji 🎬
Kaji 🎬@kaji_sijo·
Unajua tatizo la wabongo huwa wanapenda sana kukariri. Utasikia kwanini hatupati update ya madhara aliyo fanya Iran huko Israel. Ipo hivi Israel ina mfumo wa ulinzi wa anga ambao mpaka sasa umezuia zaidi ya Makombora 200 hatari. Imebidi sasa Iran atumie Hypersonic Ballistic missile ambayo ni hatari kubwa lakini bado zimefika chache. Kwa hesabu ndogo mpaka sasa Israeli kwenye maeneo yenye watu zimetumwa kombora zaid ya 250. Bila mfumo wa ulinzi wa Israeli basi mpaka muda huu kusinge kuwa na taifa linaitwa Israel. Wakati Israel ana pigana vita na jeshi la Iran muda huo Iran ana target raia wasio hata na kisu huko Israel katika moja ya Tel Aviv, Haifa na Jerusalem. Endelea Na Uzi ⤵️
Kaji 🎬 tweet mediaKaji 🎬 tweet media
Filipino
184
74
592
125.3K
VENANCE M
VENANCE M@venancisco·
@zittokabwe @ACTwazalendo YAANI KWASABABU YA MAMBO KAMA HAYA NDIO TUNASIKIA CCM WAKITAMBA KUWA WATATAWALA MILELE... KAMA KULINDA KURA TULISHALINDA SANA....
Filipino
0
0
0
2
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe@zittokabwe·
Sisi tumeamua kupambana. Tunaheshimu walioamua kutundika daruga, kuzira na kususa. Ni uamuzi wa kidemokrasia. Ni haki yao. Sisi @ACTwazalendo tumekataa kutundika daruga. Tunaendeleza mapambano. Sisi kizio chetu cha mapambano ni KITUO CHA KUPIGIA KURA. Tupambane, Tukishiriki Tushiriki, Tukipambana Oktoba, #LindaKura
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe tweet media
Ado Shaibu@AdoShaibu

OKTOBA #LINDAKURA OKTOBA #LINDAKURA OKTOBA #LINDAKURA OKTOBA #LINDAKURA OKTOBA #LINDAKURA OKTOBA #LINDAKURA OKTOBA #LINDAKURA OKTOBA #LINDAKURA OKTOBA #LINDAKURA

Indonesia
315
26
138
30.4K
VENANCE M
VENANCE M@venancisco·
@zittokabwe HII YA KULINDA KURA SIYO MPYA, HIYO MBINU IMECHOKA NA IMEPITWA NA WAKATI...NA HAIFANYI KAZI... NRNE..
Filipino
0
0
0
5
VENANCE M
VENANCE M@venancisco·
@Jambotv_ @afrobarometer handle yao hiyo... sijui walifanyia wapi hiyo survey... na kama kuna watu wanawapa fund basi wajue wanapigwa
Filipino
0
0
0
253
Jambo TV
Jambo TV@Jambotv_·
“Tathmini inaonesha kuwa wananchi walio wengi wanaridhishwa na utendaji wa serikali katika kutekeleza programu na miradi ya maendeleo. Kwa mfano, utafiti uliofanywa na Taasisi ya Afrobarometer mwezi Juni – Julai 2024 ulionesha kuwa asilimia 71 ya wananchi waliohojiwa walisema wanaridhishwa na utendaji wa serikali, na asilimia 70 walisema nchi ipo katika mwelekeo sahihi. Hii inaonesha kuwa wananchi walio wengi wanaridhishwa na utendaji wa serikali yao” - Prof. Kitila. Sehemu ya hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Alexander Mkumbo akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi kwa Mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Mwaka 2025/26, bungeni jijini Dodoma, Alhamisi Juni 12, 2025
Jambo TV tweet media
Indonesia
499
34
462
69.2K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Vijana mnaojifunza siasa nawashauri someni kitabu hiki, Kitakutoa sehemu uliyopo na kukufanya kuwa mwanasiasa sio mwanaharakati uchwara
Yericko Nyerere tweet media
Indonesia
115
11
138
16.8K
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
KENYA: Matokeo ya Uchunguzi wa Daktari yanapingana na ripoti ya Polisi iliyosema kuwa Mwanaharakati na Mwanamitandao, Albert Ojwang' alifariki kwa kujigonga Kichwa kwenye ukuta wa chumba cha Mahabusu katika Kituo Kikuu cha Polisi, alipokuwa akishikiliwa kwa tuhuma za kuchapisha maandiko yaliyolenga kumchafua Naibu Mkuu wa Polisi Daktari wa Serikali, Bernard Midia, amesema kama Ojwang’ angejigonga ukutani, Damu ingetoka mbele ya Kichwa, lakini walikuta michubuko mbalimbali Kichwani, Usoni, pembeni na nyuma ya Kichwa, ikionesha kuwa majeraha hayo hakuweza kujisababishia mwenyewe Midia, ambaye alifanya uchunguzi huo pamoja na mwakilishi wa Familia, Mutuma Zambezi, alikanusha uwezekano wa Ojwang' kujijeruhi. Alisema, "Tunapojumuisha pamoja na majeraha mengine yaliyosambaa sehemu mbalimbali za Mwili, ikiwemo Mikononi na Kiwiliwili, basi hii haiwezekani kuwa ni jeraha alilojifanyia mwenyewe Soma jamii.app/PostmortemResu… #JamiiAfrica #JamiiForums #Accountability #HakiZaBinadamu
Jamii Forums tweet mediaJamii Forums tweet mediaJamii Forums tweet media
Indonesia
48
56
472
36.6K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
TAPELI GERSON MSIGWA ndio takataka inayoongoza kwa kupiga blanda nchi hii. Wamekula MABILIONI ya mapesa kwenye Ukarabati wa uwanja wa MKAPA, na CAF ndio wametufungua macho juzi kuwa KUNA UTAPELI MKUBWA unaendelea uwanja wa MKAPA. Kwenye kipindi kimoja cha MICHEZO wasafi FM 2024 walifanyia mahojiano pale kwenye uwanja wa MKAPA msigwa ZEE LA MASIFA lilisema “MAMA HATAKI KUONA HIVI VITI VYA HUU UWANJA, TUTAFUNGA VITI VIPYA VYA KUKUNJA UWANJA MZIMA”. Chaajabu WAMELETA viti vile vile vya miaka ya 70, kilichoboreshwa saizi hivi vina rangi ya tanzania. TAYARI watu mmepigwa hapo hamuulizi mnacheka nae tuu. Viti vyenyewe sio uwanja mzima kuna eneo bado. Upande wa PITCH wakadanganya watanzania wameleta mainjinia kutoka UTURUKI, hao waturuki ndio wamefanya GAME ya simba IKACHEZWE ZANZIBAR, uhuni uhuni tuu. KWENYE MWENDO KASI. Huku sasa ndio anazidi kuharibu, alianza kwa kusema mwendokasi mpya ZINAKUJA mwezi March hakutakuwa na MATATIZO ya usafiri wa mwendokasi. Mwezi march ukafika Kimya, akaja na POROJO mwendokasi mpya zinakuja Mwezi MAY adha ya usafiri itakuwa HISTORIA. Mwezi May umeisha KIMYA. Zaidi tunaonyeshwa kamwendokasi kamoja kakutumia GESI hako nako sijui wameiba wapi. Saizi TUNAAMBIWA MRADI WA MWENDOKASI UMEUZWA KWA WAARABU KWA MIAKA 12. Msigwa kashaingia MITINI anawaza kupiga POROJO zingine mpya. Haka kajamaa kanatuona watanzania wote MATAKO yake. TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet media
Filipino
51
134
1.2K
59K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Sikiliza Majibu ya ACP Muliro, Kamanda mkuu wa Kanda ya Dar es Salaam. Juu ya madai ya Boniface Mwangi na wenzake, Ambao wamesema wamefanyiwa ukatili na watu waliojitambulisha kama Polisi wa Tanzania.. Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
Indonesia
43
38
645
147K
Mr. Kinuthia Pius.
Mr. Kinuthia Pius.@Belive_Kinuthia·
@ntvkenya This should be replicated in Kenya where churches have turned to be political arenas
English
8
0
6
1.9K
NTV Kenya
NTV Kenya@ntvkenya·
Tanzania suspends operations of Glory of Christ Church owned by Kawe MP Bishop Josephat Gwajima; State alleges political sermons that incite the public against government.
NTV Kenya tweet media
English
59
291
1.1K
60.4K
Kumbusho Dawson Kagine
Kumbusho Dawson Kagine@KumbushoDawson·
Hawa siyo kwamba ni Vibaka au wezi (panya road) Hapana. Hawa ni Watanzania wenzetu. Kosa Lao kubwa ni kwenda siku ya Leo kuhudhuria kesi ya Uhaini inayo Mkabili Tundu Lissu. Wanapiga kama wanaua nyoka!
Filipino
61
182
645
52.2K
omaryjuma
omaryjuma@omaryju32316356·
@Kiganyi_ 2. Sasa ikiwa digrii ndo zinatawala Bungeni, ni vipi hoja zisizofaa za wenye elimu ndogo zinaachwa na Bunge zipite bila kurekebishwa na wenye digrii mle mle Bungeni? Hitimisho: Tatizo la msingi si viwango vidogo vya elimu iliyomo Bungeni.
Indonesia
3
0
2
383
M A G I R I
M A G I R I@Kiganyi_·
MANDINDINDI.
Filipino
59
414
1.7K
76.9K
SPOTTED HYENAS🦊
SPOTTED HYENAS🦊@Spotted_Hyenas·
@Sativa255 Daah huyu jamaa kapata wapi hizi data zote kiasi hiki, mana ameongea vitu vya ndani ambavyo hata mtu wa nje kuvijua ni aibu kubwa sana
हिन्दी
3
0
75
4.6K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi cha kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana? Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao? Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.! TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet media
Indonesia
244
598
3.5K
187.4K
VENANCE M
VENANCE M@venancisco·
@Marijani843698 @Sativa255 TANZANIA nchi yangu...JAMAA UMEELEWA KWELI ALICHOKIONGELEA HUYO SENETA?.. AU NA WW NDIO WALE WA KUJUA NA KUSOMA TU BAASI... ???
Indonesia
1
0
3
299
Marijani
Marijani@Marijani843698·
@Sativa255 Acheni huyu senata wa migori acheni kushabikia mpumbavu.kenya ni tajiri? Mbona tuna fanana nchi Yao inadaiwa mpaka inataka kupigwa mnada.hao maseneta walijipendekeza kwa ruto,wakapokea rushwa wakamuondoa gachagua.makamu warais harakaharaka.
Indonesia
16
0
4
7.4K
MwanaHabari
MwanaHabari@MwanaHabariNews·
Msanii wa maigizo nchini maarufu kama Jimmy Mafufu amuweka kikaaangoni Wakili Martha Karua kutoka nchini kenya wakati akiongea na waandishi wa habari muda huu jijini Dar es salaam
Indonesia
266
10
162
38.8K