'viongozi' wa tanzania hawana mazoea ya kuhojiwa cuz journalism nchini mwao doesn't actually exist. wamezoea kwenda kwenye 'media' kuzungumza upuuzi w/ no accountability. so, when they meet actual journalists, they get pretty bodied. i fucking love it:
🚨 LEO APRILI 23 NI SIKU KUU KWA TANZANIA!
Baada ya siku 153, ushahidi kutoka kwa Watanzania zaidi ya 63,000, Mohamed Chande Othman atakabidhi ripoti ya Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Mauaji ya Oktoba 29 kwa mtuhumiwa number 1, @SuluhuSamia , ripoti iliyopambwa vizuri inayowalaumu waathirika na upinzani huku ikiwalinda wahalifu halisi. Na kumsifia aliyetoa amri ya kuuwa @SuluhuSamia .
Chande amesema wamehoji watu 63,000, ili tume yake batili ionekane imefanya kazi vizuri kupitia hata viwango vya kimataifa.
#RipotiYaChande#MauajiYaOktoba29#HakiKwaTanzania#GranHermanoGeneraciónDorada
Kwani nyie ambao hamjaoa mnaishije, Sisi ambao tumeoa tukitoka kwenye mihangaiko huwa tunakuta hawa viumbe, wanavutia na wanatia faraja ya kuamka kesho, kama hujaoa kaoe mnakosa vingi kuku nyie. Hapa unampeleka mtoto mmoja chumbani unamrudia na mtoto mwingne.
Greatness tupu 📌
kitila mkumbo anasema serikali anayoiwakilisha ni halali kwani “imepatikana kwa mujibu wa sheria.” baruani mshale, kutoka twaweza, anahoji endapo kama sheria hizo zinaweza kuwa vigezo wakati zenyewe zimekosolewa kwa kukiuka katiba, sheria mama ya nchi:
🎥: @kiratyofficial
Katibu wa Baraza la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) (BAZECHA) Mkoa wa Tanga, Lukindo Husseni Mohamed, ametangaza kujiuzulu nafasi yake na kujivua uanachama wa chama hicho.
Akizungumza na waandishi wa habari, Lukindo amesema uamuzi huo umetokana na kutoridhishwa na kauli za hivi karibuni za Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, kuhusu maandamano.
Amesema anapinga mtazamo huo kwa kuwa unaweza kusababisha taharuki na kuathiri utulivu wa jamii, akirejea matukio ya nyuma yaliyohusisha mvutano wa kisiasa.
Lukindo amesisitiza kuwa njia sahihi ya kushughulikia tofauti za kisiasa ni kupitia mazungumzo na maridhiano, huku akitoa wito kwa viongozi wa vyama vya siasa kukaa pamoja na kujadili masuala kwa lengo la kufikia muafaka badala ya kutumia kauli zinazoweza kuchochea migogoro.
Imeandikwa| Getrude Mpezya
Tembelea epaper.ippmedia.com kusoma Habari hii ndani ya gazeti lako au wasiliana nasi 📞+255 745 -700 710 au 0677- 020 701 kwa maelezo zaidi.
#NipasheDigital#NipasheMwangaWaJamii#miaka30yakupashahabari
Madhara ya kutunza siri nzito.
“Unajua kabisa nikiitoa siri hii itaketa ukombozi lakini unajua kabisa nikiitoa maisha hauna.”
Padre Prosper Kessy, OFMCap.
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Balozi Waziri Salum, amesema bidhaa zinazotumiwa na Watanzania kila siku ziko salama na zimepitia ukaguzi wa kina unaofanywa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS).
Waziri ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam wakati wa ziara yake na kukagua Maabara mbalimbali za TBS, ambapo amesema ameridhika na kazi inayofanywa na taasisi hiyo muhimu na kuongeza kuwa maabara zinazofanya kazi ya kukagua ubora wa bidhaa ni zaidi ya 12, na zote zinaendesha shughuli zao kwa ufanisi huku akibainisha kwamba mashine moja ndogo tu ya Maabara inaweza kufikia thamani ya karibu Shilingi Milioni 500, ikionyesha ukubwa wa uwekezaji uliofanywa na Serikali kupitia taasisi hiyo.
Akizungumzia tatizo la bidhaa zinazoingia nchini kwa njia zisizo rasmi, Balozi Salum amesema wajanja wachache wanaendelea kupitisha bidhaa zisizo na ubora kwa njia za mgongo wa nyuma, na kuongeza kwamba Serikali ipo macho na inashirikiana kuhakikisha bidhaa zote zinakidhi vigezo vinavyohitajika kabla ya kufikia mikononi mwa watumiaji.
#KitengeUpdates
Wakati mjadala wa uwepo wa maridhiano ukishika kasi nchini, Mchambuzi wa masuala ya siasa Ally Makame ametoa wito kwa jamii kuacha kile alichokiita kuwa ni dhana potofu ya kwamba maridhiano hayo hayawezi kufanyika na kufikia muafaka sahihi bila uwepo wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Akizungumza na Royal TV leo, Ijumaa Aprili 17.2026, Makame amesema maridhiano ni suala mtambuka linalohusisha makundi mbalimbali ya kijamii ikiwemo wadau wa vyama vya siasa, na kwamba katika makundi hayo hakuna mtu au kundi fulani ambalo ni muhimu zaidi kuliko lingine,
Katika hatua nyingine, Makame ameonesha kukerwa na baadhi ya kauli zinazodaiwa kutolewa na viongozi wa CHADEMA za kuviita vyama vingine vya siasa kuwa ni 'Vyama vya Mfukoni' badala yake ametaka viongozi wa chama hicho kuheshimu na kutambua kuwa vyama vyote viko sawa ndio maana vimepewa usajili rasmi baada ya kukidhi matakwa ya kisheria,
Aidha, amegusia suala la kuheshimu kwa utawala wa sheria akitolea mfano, wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu anayeendelea kusota gerezani kutokana na kwamba kesi hiyo (uhaini) haina dhamana, Makame ameshauri viongozi na wanachama wa chama hicho kuacha kushinikiza kuachiliwa kwa Lissu badala yake wasubiri Mahakama ambacho ni chombo huru kifanye kazi zake, na mwisho haki itatendeka
Mbunge wa Tanduru Kaskazini kwa tiketi ya @ACTwazalendo, Ndugu @AdoShaibu ameibua tuhuma za utekaji na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na Serikali.
👉🏿Akutaja kupotezwa kwa Deusdedith Soka na Polepole
👉🏿Ataka iundwe Tume ya Kijaji
#TaifaLaWote#MaslahiYaWote
Sijawahi kufanya video kwa ajili ya Chadema hii ndio ya kwanza.
Chadema tunaomba msituangushe kwenye hili. Watanzania tumezika watu kwa ajili ya haki sio kwa ajili ya Lissu kutoka ndani au kwa ajili ya Chadema kufanya siasi.
@mangekimambi CCM wanadhani maridhiano ni ya CDM na wao. Inasahau maridhiano na wananchi, inatupuuzia sisi wananchi tusio na itikadi za chama chochote cha kisiasa, October 29 haita nkua solved kwa maridhiano ya vyama vya siasa