Pinned Tweet
BekaBOY 0.2
77.1K posts

BekaBOY 0.2
@barackmtulo
Don't see others doing better than you, Beat your own records everyday because, Success is a fight between YOU & YOURSELF #FeelTheDiffelence
Joined Aralık 2014
361 Following1.2K Followers

Hawa watu imefika hatua siyo kwamba hawajiheshimu, lakini wamepoteza utu wa binadamu. Kwa hiyo GAZA, Palestine kuna mabango ya CCM? Gaza walifanya uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025? Gaza kuna vituo vya kupiga kura vimeandikwa INEC? Gaza ndiyo watu waliobeba silaha walivaa jezi za YANGA? Gaza ndiyo wale trafiki walikuwa na silaha? Gaza ndiyo zile mochwari zilizosheheni maiti zipo? Watu wa Gaza ni weusi watupu, hakuna hata Mwarabu mmoja? Kwa hiyo katika zile video clip uliwaona waarabu na IDF mkashindwa kuwatambua hadi ikabidi muite watalaam? Gaza wanazungumza kiswahili? Gaza maiti ao wanafunika na bendera ya Tanzania? Master Tindwa aliuwawa Gaza, Palestine? Au anazungumzia ukanda wa Gaza akimaanisha Kimara? Fikiria kidogo, mtu huyu alikuwa Jaji Mkuu kwa miaka nane. Profesa?
Indonesia

@_blasxc_ Mpaka kuwe na foleni? Inatakiwa kujenga kabla ya foleni
Sema maccm wahuni tu
Indonesia

@nguchiro47 @_zack255 @Britanicca0 @chapanombombwi @EsirEid @Jaguar_455 @Kipanga1986 @MankindUwezo @munyamambogo @Sisimizi3 @Baradhuli2 Ndio maana mmemteka?
Eesti

@FestoKyando94 @EngMapundajr Wewe wazazi na taifa tumepata Hasara. Bora wangetumia Condom
Indonesia

@barackmtulo @EngMapundajr Kwani mchan hakuna ajal ulishawah endesha Gari usiku alaf barabarab iwe mbovu na ulishawah endesha Gari mchan alaf ukute barabar mbovu ukishajib ndio toa maelezo ya utofauti wa hii hali
Indonesia

@e50232511 @Therealngassa Dunia ingekuwa hivyo ingekuwa sehemu salama sana
Indonesia

@barackmtulo @Therealngassa Na finland hizo ndo nchi za kuishi, uta ishi kwa amani
Filipino

@laban72085 @fintanjr_ Na wewe unatapeliwa janja?
Uyole Moja?
Indonesia

@fintanjr_ Bro acha masengenyo kwa man of God kama haumu appreciate bro just stay away hutopungukiwa
Filipino

@Jaguar_455 Uyu jamaa ukimtazama tuu unagubdua anahofu sana ya Mungu, na anaona mambo mengi mabaya yanafanyika huko Juu lakini ndo hivyo
Indonesia

@MwasegeYoh13805 @BillyTronix1 Majeshi gani yanasimamia nidhamu?
Indonesia

@BillyTronix1 Bila hat mamb meng kam huyo trafiki kakalili force number yake akamshataki hana kazi tena na kifungo juu hay majeshi yanasimamia nidhamu sana
Indonesia

Kama kuna ka ushahidi huyo soldier atajutia maisha yake yote hilo tukio
UMOJA WA HAKI ZA MADEREVA@🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇷🇼🇷🇼🥰🙏@munyamambogo
Hili tukio la kupigwa makofi trafiki msavu na mwanajeshi wananchi wameshangilia
Filipino

Wakili msomi, Peter Madeleka, amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwa kiongozi wa kwanza kulieleza taifa ukweli juu ya ghasia zilizotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
Akizungumza na waandishi wa habari leo, Aprili 27, 2026, jijini Dar es Salaam, Madeleka amebainisha kuwa Rais alionesha ujasiri kwa kusema wazi kuwa matukio yaliyosababisha vifo na uharibifu wa miundombinu yalichochewa na watu waliopewa fedha kwa ajili ya kuvuruga nchi.
Madeleka amesisitiza kuwa kilichotokea mwaka 2025 kilikuwa ni jaribio la mapinduzi ambalo lilidhibitiwa kwa weledi mkubwa na vyombo vya ulinzi na usalama.
Amesema kuwa matumizi ya nguvu stahiki yaliyofanywa na vyombo vya dola yalikuwa ya lazima ili kuokoa taifa, kwani kama kusingekuwa na udhibiti huo wa haraka, hali ya amani nchini ingekuwa tofauti kabisa hivi sasa.
"Ni lazima kuvipongeza vyombo vyetu vya dola kwa kufanikiwa kudhibiti jaribio la mapinduzi ndani ya siku mbili tu. Walitumia nguvu stahiki kuzuia mipango ya watu waliokuwa wamelipwa fedha ili kuleta machafuko," amesema Madeleka
Indonesia





















