chat.whatsapp.com/GYTUvI8LmQJFwx…
*Masangula business Ltd*
*Call 0714544540*
Toyota Crown
2008
Km 74000
Cc 2340
New tyres
Price 20mil
Show Room
Moshi mjin📞📞
#TajiriLaKihaya
Wana ARSENAL ….
Comment na namba yako ya simu… kila Mwana Arsenal Apate PEPSI BARIDI popote alipo….
Hii Furaha nlionayo kuanzia Jana usiku sio ya Dunia hii….
Kmmmmmmk….. nakojoooooaaaaaa
#COYG 💪🏽
Chairman @SenTedCruz at this morning's subcommittee hearing on sports betting and prediction markets.
"Sports leagues and casinos and regulators have to work together to identify, to investigate, and to root out manipulation."
Watch his full remarks below:
WATCH: @SenatorShaheen on America's support to Taiwan after President Trump suggested arms sales to Taiwan might negotiable with China:
"Taiwan's security is not a bargaining chip. Allies like South Korea are watching closely to see whether American commitments remain firm."
Watanzania, dunia haijachoka na wala haijalala, haiwezi kuvumilia unyama na ukiukwaji wa haki za binadamu uliotokea Tanzania. Muda sio mrefu mtasikia kishindo kutoka USA. Hizi ni rasharasha tu. Mambo makubwa yapo kwenye pipeline.
Nipo na begi la maamuzi magumu. Yajayo yanafurashisha
#TanzaniaMassacre#FreeTunduLissu
@Liberatus80 Wewe ni mkundu na msenge unayezungusha mkundu kwenye maofisi ya wafiraji kwa ajili ya kuchafua Tanzania!.. tapeli mkubwa wewe au unadhani hatujua mambo yako
Today @StateDept announced additional foreign assistance for the response to Ebola in DRC and Uganda. Our commitment to fund up to 50 clinics at this early stage sends a clear message: the United States has an ironclad commitment to ensuring this response is fully resourced, rapid, and cooperative. Healthcare and humanitarian workers should know that the United States has their back and is urgently mobilizing all available resources to assist frontline providers and response efforts.
state.gov/releases/offic…
Part 1.
Hii ngoma ya Buyobe ni puzzle ambayo unapaswa ku connect pieces ili upate full picture.
Nirudi nyuma kidogo.
Si mnakumbuka hashtag ya #FreeBuyobe . Jamaa wakati ametekwa, wengi wetu humu tulipiga kelele na hiyo hashtag. Na mimi nilikuwa mmoja wao. Piga kelele kama zote kwenye kila platform yangu ya social media. Sasa si nikampost na kwenye status yangu ya WhatsApp. Mara paaap ...dogo huyu hapa...dogo huyu ni family friend tangu utotoni Tanga huko...ila yeye ni top guy kwenye taasisi moja wapo kwenye hii nchi.
Dogo akaniuliza, "kaka na huyu jamaa katekwa"? Nikamjibu ndio, dogo. Akasema, "huyu", nikamwambia ndio. Akasema , "kaka huyu jamaa hawezi tekwa, kuna namna tu". Dogo, akaona namchimba , akasema, "nimamini mimi kaka, hawezi tekwa huyu". Hizo kauli zikanipa mashaka sana. Ila nikasema potelea pote. Acha tuendelee kumpigania mshkaji.
Sasa baada kuona post ya @lifeofmshaba na baadae @HildaNewton21 nikakumbuka yule dogo, "top fella" kwenye taasisi moja ya gavoo kwamba "huyu jamaa hawezi tekwa kaka niamini mimi"
Sasa, najiuliza, kutekwa ilikuwa ni one of the processes ya kwenda kukamilisha mission aliyotumwa? Kutekwa kungempa trust kwa watu ambao probably walikuwa na wasiwasi nae bado?
Kutekwa kungempa sabaababu ya kutoka nje ya nchi maana angeonekana hayuko safe bongo?
Ni kweli baada ya pale ndio alianza mawasiliano na serious people kutaka kwenda nje.
Akashauriwa nchi za kwenda na Kenya kwake ilioneka sio safe.
But ghafla.. akaamua kuanza na Nairobi.
Why aende Nairobi huku kwenye options za safety place haikuwepo?
Kama alikimbia kwaajili ya usalama wake , why baada ya jaribio la kutekwa @lifeofmshaba kushindikana, karudi Bongo, while sio safe kwake?
Ukitaka majibu ya maswali haya...na ya hapo juu...fuatilia link ya telegram 🤣🤣🤣🤣🤣 #jokes.
Anyways, nikipata muda nitakuja tena kudadavua hayo maswali na kuconnect dots zote uione picha halisi.
Ila @ACTwazalendo ina watu jamani. Kamati ina watu wa maana kabisa. Kuna chama kingine hapa Tanzania, kuondoa CCM, ambacho kinaweza kutengeneza kikosi kikali kama hiki bila kushirikisha "Marafiki wa Chama"🤣🤣. Weka kikosi chako kama hiki kutoka chama chako. Povu ruksa🤣🤣🤣
Kwa mujibu wa Bunge la Senet Marekani na Taarifa za Siri, Toka vyanzo kadhaa ndani ya serikali ya Tanzania, Na Wakati senet inamuhoji Balozi wa Marekani anayekuja Tanzania walitumia number hiyo ni 2,000 plus wanaendelea kukusanya Data kijasusi @zittokabwe@mangekimambi