Somebody tell me:
If a president from Zanzibar (distinct in culture) uses militia and security forces to target and kill solely people of Tanganyika - what is the exact definition? Thousands including children have been killed and we have the photo and video evidence!
The order included taking out male members of a household above the age of 15
Is this “post election” violence or massacre or genocide?
The person who ordered this should be called a butcher, no?
#SaveTanzania#TanzaniaMassacre#SamiaMustGo#MO29
@ChademaTZ2 We kindly request the handler of this handle to use two languages for the common cause.(English and Kiswahili)
I will be happy if my request is parentally accepted.
Yours faithfully Gideon.
@muruteri@Sativa255 Umesoma alichoandika mtoa post ama umeruka ruka kama popcorn? Mzee Kibao wa Ununio unahihitaje ile kama kama missing person? Tulia mzee kuchangia sio lazima.
@Sativa255 sasa hapo kisichoeleweka ni nini!!!? tatizo mnaona kama mlivyojengwa kuona. mtu aliyepotea au missing person anaweza akawa ametekwa, ametoroka, kapata ajali, kapotea njia nk, hiyo ndiyo hoja yake ambayo iko sawa, lkn nyie sababu mmetazamishwa kila kupotea ni kutekwa tu hamkubali
HIZI NDIO AKILI ZA VIONGOZI WENU NA WAANDISHI WENU.
Msikilize SPIKA WA BUNGE akijibu swali la kwanini bunge Halijadili UTEKAJI unaoendelea nchini.
Hoja yake kubwa imeegemea kwenye MIFANO ya watu waliodaiwa wametekwa na baadae wakapatikana (Maiti na makaburi yao) kwa WAGANGA WA KIENYEJI.
Katoa mfano wa RUVUMA kuwa kuna watu walidaiwa wametekwa zikapatikana maiti Kwa mganga, katoa mfano wa singida , nyumbani kwa mganga walikuta MAKABURI 12. Kamaliza hapo.
Hajataka kabisa kuongelea UTEKAJI uliofanyika kipindi hiki cha mwaka mmoja ambacho ndio HOJA ilipekekwa BUNGENI kuwa Polisi wanateka watu. Ila yeye anakuja na mifano ya miaka ya nyuma huko.
Sawa ACHANA na swala langu mimi sativa huenda anaweza kusema NATUNGA ni muongo kwasababu nipo HAI bado. Swala la utekwaji wa DEUSDEDIS SOKA ambae aliitikia WITO wa mkuu wa kituo cha polisi akaenda na rafiki zake wawili waliomsindikizs na mpaka leo Hawajawahi kurudi hili anamaoni gani? Waandishi wameshindwa kumuuliza, ushahidi mpaka wa MESEJI upo.
Swala la MZEE ALI KIBAO ambae alishushwa ndani ya BUS ambapo ndani ya bus kulikuwa na Askari wa usalama barabarani bado watekaji wakazuia gari katikati ya barabara mchana kweupe na kumshusha MZEE KIBAO na kutokomea nae nalo ni UTUNZI? Waandishi wapo kimya wanasikiliza USENG huu.
Swala la ABDUL NONDO ambae gari lililohusika kumteka magufuli bus Stabd lilionekana kabisa kituo cha polisi huko MBEZI baadae kaja kupatikana COCO BEACH akiwa ameteswa na kuumizwa sana Nayo ni SINEMA? Ushahidi upo na waandishi wenu wapo kimya wanamsikiliza huyu PUNGUANI.
Swala la MDUDE ambae ushahidi wa KUTEKWA KWAKE , watekaji ambao ni polisi wa ofisi ya RCO mkoa wa mbeya tumewataja kwa majina SHABANI NA VEDASTUS kuwa walitangaza pesa nyingi kwa mtu atakaeonyesha wapi mdude anaishi wanataka kufanya UJAJUSI. Ushahidi upo na kila kitu kinafahamika waandishi wapo kimya wanamsikiliza tuu huyu kuma.
Uzuri saizi hata nyie kwa nyie CCM mnatekana kwahiyo haina shida, yule MNEC MWANZA mwezi na week kadhaa sasa hakuna majibu alipo. Endeeleeni ila YANA MWISHO.
Hawa ndio wasomi wenu wanaowaongoza, ndio mnaowategemea wakomeshe UTEKAJI ndio hawa.
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Mzee Warioba anaongea vitu vizito kwa Jemima, Unaweza msikiliza zaidi ya masaa 8 anaongea na Kufanya referencies kwa wakati kabla ya Uhuru, Uhuru na sasa ana mifano ya mataifa mbalimbali na namna walivyochomoka kwenye mkwamo, Taifa lina hazina
Kesi ya Tundu ni SARKASI ya KISIASA.
DPP anafanya Siasa.
Tanpol wanafanya Siasa.
Magereza inafanya Siasa.
Mahakama inafanya Siasa.
Hakuna SHERIA hapa! No SIASA HOVYO!
Nimefurahi kuona Wanasheria wa Tundu wameanza kufanya SIASA pia kwa ku-prosecute Hii kesi kwenye PUBLIC ARENA!
Huyu ndie mwanaharakati wa muda wote humu ndani,Hakuchagua kuficha sura yake Kama alivyofanya kigogo Wala hakuchagua kukimbia nchi amepambana kusema kweli hata nyakati zile za GIZA,
Tumpe retweet 1000
Nimeyashuhudia matokeo, Wanachadema mmeamua kwa kura, Niwapongeze Mwenyekiti Mpya Mh Tundu Lissu, na Makamu Mwenyekiti Mh John Heche kwa ushindi huu. Niwatakie utumishi mwema wa Chama chetu.
Na Yericko Nyerere