@CrownMediaTZ@AdvMahinyila hiyo ni mihemko ya ujana sio siasa ya kujenga nchi, mikutano ya siasa ya sasa hasa ya CHADEMA naifananisha na mikutano ya injili ya kilokole hasa ya mwamposa.
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana CHADEMA, (BAVICHA) Wakili Deogratias Mahinyila @AdvMahinyila Akizungumza na wananchi Mkoani Mara, Akiwa kwenye ziara ya Chama hicho inayojulikana kama ‘No Reforms No Election’ amehoji kwanini Mkoa huo hauna Chuo Kikuu mpaka sasa.
#hapaninyumbani#crowndigital
@kaji_sijo Na nani aliona uingereza inavigezo vya kutngeneza fedha na kutoa maelekezo ya nani anaweza kujitengenezea fedha na nani bado hawezi kujitengenezea?
TANZANIA TUNA KWAMA WAPI?
-
Mnamo 2022 Uingereza iliona vipo vigezo vya Kenya kuwa na kiwanda cha kutengeneza pesa nchini kwake bila kuagiza kutoka nje.
Hivyo kampuni kampuni ya De La Rue kufunga kiwanda chake Kenya Nairobi mnamo Januari 2023, Hivyo Bank kuu ya Kenya iliteua kampuni ya Kijerumani ya Giesecke+Devrient Currency Technologies GmbH (G+D) kuchapisha noti mpya za Kenya.
Mchakato upo hivi...
Shuka Na Uzi 🧵⤵️
@PMacheyeki@millardayo Sikubaliani na sababu zote kasoro Moja tu, kujitemea kiuchumi. Lkn suala la katiba mpya, kulindwa na sheria si chama, jeshi la polisi na siasa, jwtz na kutimiza majukumu yao, hizo blaa blaa tu za kisiasa.
@millardayo Tanzania itakiwa huru pale TU
1. Itakapopata Katiba Mpya
2. Itakapojitegemea kiuchumi kwa 75%
3. Wazawa watakakuwa na uwezo wa kuwekeza na kulindwa na Sheria badala ya Chama kilichopo madarakani
4. Jeshi la Polisi litakapoacha kutumika Kisiasa
5. JWTZ itakapoamua kutimiza wajibu
Serikali ya Tanzania imesema imeliona azimio lililopitishwa na Bunge la Ulaya May 08,2025 kuhusu kesi za kisheria zinazoendelea nchini lakini haijaridhishwa na hatua hiyo kwakuwa Bunge hilo limetoa maamuzi kwa kuzingatia taarifa za upande mmoja bila kushauriana kwanza kwa njia za kidiplomasia na Tanzania huku ikisisitiza kwamba Serikali haiwezi kuingilia Mhimili wa Mahakama.
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema “Ingawa Tanzania inaheshimu uhuru wa kitaasisi wa Bunge la Ulaya na inathamini ushirikiano wake na Umoja wa Ulaya bado inaona kuna umuhimu wa kufafanua baadhi ya mambo na kusisitiza wake wa muda mrefu kwenye maadili ya kidemokrasia, utawala bora, na utawala wa sheria”
“Tangu March 2021, Tanzania imefanya mageuzi ya kisiasa na kisheria chini ya falsafa ya 4Rs ambayo imezaa matokeo ya thabiti ikiwemo kurejesha uhuru wa kisiasa, upanuzi wa haki za raia, kuimarisha uhuru wa vyombo vya habari, na kupitishwa kwa sheria mpya za uchaguzi March 2024, ambazo zilisababisha kuanzishwa kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi”
“Tanzania ni nchi huru yenye katiba yake na inatawaliwa na utawala wa sheria hivyo masuala ya kisheria yanashughulikiwa kwa uhuru na Mahakama kama moja ya Mhimili wa Dola kwa mujibu wa sheria za kitaifa na kwa kuzingatia viwango vya kimataifa ambapo Mhimili wa Serikali hauwezi kuingili kesi zinazoendelea Mahakamani, hivyo, kauli zinazohimiza Serikali iingilie utendaji katika kesi zinazoendelea za Mahakama sio tu hazifai lakini pia zinapingana na kanuni za msingi za uhuru wa Mahakama kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania”
“Tanzania ina wasiwasi na mwelekeo unaoendelea kama ulivyoonekana katika azimio la Bunge la Ulaya la baadhi ya Wadau wa kimataifa kutoa hukumu kwa kuzingatia taarifa zisizotosha au za upande mmoja, bila kushauriana kwanza kupitia njia za kidiplomasia, kesi za kisheria nchini zinachukuliwa kwa uchunguzi wa kipekee, pia maendeleo yaliyopatikana katika maeneo kama uhuru wa vyombo vya habari, ushirikishwaji wa kisiasa, mageuzi ya uchaguzi, na ujenzi wa amani wa kikanda hayajazingatiwa kwenye maoni ya Bunge la Ulaya”
#MillardAyoUPDATES
@HopeQuotes__ Mh kile ulichokisahau ni kwamba kwao kujenga nchi ni kuchukua Dola, hayo mengine wao hawayataki tufanye sisi wao wanataka dola. Nilijua hii siku itakuja tu.
Uzuri Mwenyezimungu hua haangalii unalindwa na MabodiGadi Wangap?
Mwenyez Mungu akiamua Kuchukua Nafsi yake ni Mara Moja tu yani Shwappp!
Walikupo, kina iddy Amin Leo wako Wapi!? Akina MaciasNgwema wako wap!?, Kina Kamuzu Bada wapo!?
Ni Swala la Muda tu
@Japhee315669521@HopeQuotes__ Yupo wapi baba yako uliyempenda sana na akakupenda sana, mwisho utafika tu tukishindwa wanadam mwenyezi Mungu atafanya ishallah
@JoelyMsuya Punguza kuwa na akili finyu, mmegundua hamna ushawishi wa kutosha ndani mmekimbilia kwa mabwana zenu.Hii siyo mara ya kwanza wametujadili na hakuna walichoweza kutufanya sisi ni taifa huru. Narudia CHADEMA SIO SURUHISHO LA CHANGAMOTO ZA TANZANIA. Tujenge uchumi wetu.
Fikiria hivi... Unazaliwa kwenye nchi ambayo kila asubuhi kabla hujala, kabla huenda shule au kazini, kabla hujavaa viatu, unaamshwa na baba yako na mama yako wakisema:
"Simama mbele ya picha ya Kim Jong-un, fungua macho, piga magoti, mshukuru kwa maisha yako."
Hicho ndicho maisha ya mtoto wa kawaida Korea Kaskazini.
Miaka ya 1940s, baada ya vita ya pili ya dunia, Korea iligawanywa.
Kaskazini wakaangukia mikononi mwa Muungano wa Kisovieti na kupewa kijana mmoja wa kijeshi aitwaye Kim Il-sung.
Huyu ndiye aliyeanzisha taifa la Korea Kaskazini mwaka 1948, na alianza kujenga taifa lake kwa misingi isiyo ya kidini — bali kwa imani kwa serikali.
Thread 🧵 (fupi)
@Mustaarabu@Sativa255 Na kutulia pia sio lazima, usinilazimishe kuhemka kama wewe, sijasema hakuna utekaji nimesema sio kila asieonekana ametekwa ila anaweza kuwa ametekwa. Kukubaliana ama kutokukubaliana na mimi ni haki yako kulingana na ufahamu wako, ila usinipangie kucoment au kutokoment.
@muruteri@Sativa255 Umesoma alichoandika mtoa post ama umeruka ruka kama popcorn? Mzee Kibao wa Ununio unahihitaje ile kama kama missing person? Tulia mzee kuchangia sio lazima.
HIZI NDIO AKILI ZA VIONGOZI WENU NA WAANDISHI WENU.
Msikilize SPIKA WA BUNGE akijibu swali la kwanini bunge Halijadili UTEKAJI unaoendelea nchini.
Hoja yake kubwa imeegemea kwenye MIFANO ya watu waliodaiwa wametekwa na baadae wakapatikana (Maiti na makaburi yao) kwa WAGANGA WA KIENYEJI.
Katoa mfano wa RUVUMA kuwa kuna watu walidaiwa wametekwa zikapatikana maiti Kwa mganga, katoa mfano wa singida , nyumbani kwa mganga walikuta MAKABURI 12. Kamaliza hapo.
Hajataka kabisa kuongelea UTEKAJI uliofanyika kipindi hiki cha mwaka mmoja ambacho ndio HOJA ilipekekwa BUNGENI kuwa Polisi wanateka watu. Ila yeye anakuja na mifano ya miaka ya nyuma huko.
Sawa ACHANA na swala langu mimi sativa huenda anaweza kusema NATUNGA ni muongo kwasababu nipo HAI bado. Swala la utekwaji wa DEUSDEDIS SOKA ambae aliitikia WITO wa mkuu wa kituo cha polisi akaenda na rafiki zake wawili waliomsindikizs na mpaka leo Hawajawahi kurudi hili anamaoni gani? Waandishi wameshindwa kumuuliza, ushahidi mpaka wa MESEJI upo.
Swala la MZEE ALI KIBAO ambae alishushwa ndani ya BUS ambapo ndani ya bus kulikuwa na Askari wa usalama barabarani bado watekaji wakazuia gari katikati ya barabara mchana kweupe na kumshusha MZEE KIBAO na kutokomea nae nalo ni UTUNZI? Waandishi wapo kimya wanasikiliza USENG huu.
Swala la ABDUL NONDO ambae gari lililohusika kumteka magufuli bus Stabd lilionekana kabisa kituo cha polisi huko MBEZI baadae kaja kupatikana COCO BEACH akiwa ameteswa na kuumizwa sana Nayo ni SINEMA? Ushahidi upo na waandishi wenu wapo kimya wanamsikiliza huyu PUNGUANI.
Swala la MDUDE ambae ushahidi wa KUTEKWA KWAKE , watekaji ambao ni polisi wa ofisi ya RCO mkoa wa mbeya tumewataja kwa majina SHABANI NA VEDASTUS kuwa walitangaza pesa nyingi kwa mtu atakaeonyesha wapi mdude anaishi wanataka kufanya UJAJUSI. Ushahidi upo na kila kitu kinafahamika waandishi wapo kimya wanamsikiliza tuu huyu kuma.
Uzuri saizi hata nyie kwa nyie CCM mnatekana kwahiyo haina shida, yule MNEC MWANZA mwezi na week kadhaa sasa hakuna majibu alipo. Endeeleeni ila YANA MWISHO.
Hawa ndio wasomi wenu wanaowaongoza, ndio mnaowategemea wakomeshe UTEKAJI ndio hawa.
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
@scuduscudu@Sativa255 Hapana, Sativa kaongelea Utekaji usimwekee maneno ambayo hajayasema. Tulia kaongelea tofauti ya kutekwa na kupotea, hilo la kupotezwa umeliketa wewe, sio sativa wala tulia waliolizungumza hapa.
@CIAsssi@emmanuel_s14591@ChiefLumanyika Ukiacha ushabiki wa vyama vya siasa na wanasiasa utaziona siasa kwenye uhalisia wake. Shida nikwamba wewe ni shabiki wa chama flani na unawaamini wanasiasa flani so unaona kile wanachotaka uone.
@HecheJohn@mdudenyagali@tanpol Pole nyingi Kwa mdude hakuna uhalali wowote wa kumuumiza mtu vike kisa kauli zake, ila pia chadema fundisheni vijana wenu kujenge hoja mna vijana weupe sana kichwani hawajui kujenga hoja ila wanajua kejeli matusi na kuropoka Sasa si wote wanaweza kuvumilia upuuzi wao
Tumeshauriana na viongozi, Naibu katibu mkuu wetu Amani Golugwa ataenda Mbeya kwaajili ya kuongeza ufuatiliaji wa suala la mwanachama wetu @mdudenyagali . Tunataka serikali ituambie alipo Mdude,
Utekaji na upotezaji wa watu haukubaliki, @tanpol mna taarifa zote kuhusu hao watu waliokuwa wanamtafuta Mdude. Watanzania wanataka Mdude arudi akiwa mzima.