bardesh

3K posts

bardesh

bardesh

@WShauri

Wood Technologist//PUTINIZED

Katılım Ağustos 2021
568 Takip Edilen388 Takipçiler
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Anaandika @MalisaGJ_ Tangu jana nilipopata habari za kifo cha Baba Askofu Dr. Bernardin Mfumbusa (PhD) nilihisi kama naota. Haikuwa rahisi kuamini. Na hii ni kwa sababu siku 5 tu kabla ya kifo chake yani Aprili 09, alikuwa ameteuliwa na Papa Leo XIV kuwa Dikasteri wa Tume ya Mawasiliano ya Vatican. Miezi michache kabla ya uteuzi huo (Agosti 2025) alichaguliwa kuwa Rais wa Kamati ya Maaskofu wa Afrika ya Mawasiliano ya Kijamii (CEPACS). Aliongoza kamati hiyo kuandaa mpango mkakati wa mawasiliano ya kanisa kwa mwaka 2025–2028 akisisitiza jukumu la vyombo vya habari na mitandao katika kueneza Injili. Baba Askofu Bernardin Mfumbusa alikuwa Mhadhiri wetu Chuo Kikuu SAUT Mwanza. Hakuwa Mhadhiri tu, bali rafiki, mlezi na mcheshi. Huwezi kuhudhuria mihadhara yake ukaacha kucheka. Alipenda sana wanafunzi kujitafutia maarifa. Mara nyingi ulikuwa ukimfuata kwa swali la kitaaluma, alikupa orodha ya vitabu ukasome. Na angefuatilia kujua kama umesoma kweli. Siku moja tulimpelekea swali mimi, Kelvin Majura na Thomas Abeid, badala ya kujibu akatutajia kitabu cha kwenda kusoma. Tukaenda library kukitafuta lakini hatukukipata. Tukamrudia na kumwambia hicho kitabu hakipo library, akatoa cha kwake akatuazima tusome, tujibu swali kisha tumrudishie 😄. He was such a friend. Ni mwalimu, baba, rafiki na mlezi. Hata wakati anateuliwa kuwa Askofu alikuwa anafundisha. Yani asubuhi katoka lecture theatre, jioni tunasikia ameteuliwa kuwa Askofu. Ilikuwa furaha kubwa sana. Na hata siku ya kusimikwa kwake Kondoa, mamia ya wanafunzi walimsindikiza. Baba Askofu Bernardin Francis Mfumbusa alizaliwa tarehe 1 Aprili 1962, mkoani Arusha wazazi wake wakiwa wenyeji wa Kondoa. Baada ya kuhitimu masomo yake ya sekondari na malezi ya imani alijiunga na masomo ya Falsafa (Bachelor degree in Philosophy) na kuhitimu mwaka 1988 kisha na Shahada ya Theolojia (Bachelor degree in Theology) na kuhitimu mwaka 1992. Alipewa daraja takatifu la Upadre tarehe 14 Juni 1992 katika Jimbo Katoliki Dodoma. Kisha akatumwa masomoni Chuo Kikuu cha Gregorian (Roma), ambako alipata shahada ya uzamili ya Mawasiliano (Masters in Communication Studies) mwaka 1997. Alirudi kufundisha Chuo Kikuu St. Augustine wakati huo kikiitwa Nyegezi Training Social Institute. Baadaye alitumwa tena masomoni kwa shahada ya uzamivu ya mawasiliano ya umma (PhD in Mass Communication) katika Chuo Kikuu cha Gregorian kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Cornell cha New York. Baada ya kuhitimu PhD mwaka 2001 alifanya kazi kidogo katika Ofisi ya Mawasiliano ya Jimbo la Rockford, Illinois, Marekani, chini ya uongozi wa Owen Phelps, mwanzilishi wa Taasisi ya Yeshua (Yeshua Catholic Leadership Institute). Alirejea Chuo Kikuu SAUT kama Mhadhiri na akateuliwa kuwa Mkuu wa Kitivo cha Sayansi ya Jamii (Dean of Faculty - Social Sciences) na baadaye Naibu Makamu Mkuu wa Chuo taaluma (Deputy Vice Chancellor Academic Affairs) hadi alipoteuliwa na Papa Benedict XVI kuwa Askofu mwanzilishi wa Jimbo la Kondoa. Aliwekwa wakfu tarehe 15 Mei 2011 na Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiwa Principal Consecrator akisaidiana na Askofu Mkuu Yuda Thadeus Ruwa’ichi, OFM Cap na Askofu Augustine Shao, C.S.Sp wakiwa kama Principal Co-Consecrators. Baba Askofu Mfumbusa alipewa moja kati ya majimbo machanga katika Kanisa Katoliki, lakini alilipenda na alijitolea kwa moyo wake wote kuhakikisha linasonga mbele. Jimbo la Kondoa linahusisha wilaya mbili za Kondoa na Chemba ambazo zina wakazi 667,000 lakini Wakatoliki ni 63,102 tu kwa mujibu wa takwimu za Vatican. Sehemu kubwa ya wakazi wa Kondoa ni Waislamu. Kwa kutambua hilo Askofu Mfumbusa aliongoza jimbo lake huku akisaidia pia jamii nyingine ya wananchi wa Kondoa wasio Wakatoliki. Alianzisha miradi mbalimbali ya maendeleo kwa ajili ya kusaidia jamii ya watu wa Kondoa na katika miradi hiyo aliajiri watu wote bila kujali dini zao. INAENDELEA 👇
Polycarp The Bibliophile tweet mediaPolycarp The Bibliophile tweet mediaPolycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
13
21
172
11.5K
bardesh
bardesh@WShauri·
@HabiibYahyaa Mhhh wewe jamaa,Unamjua vizuri Jared Kushner? Unafananisha na elimu za madrassa.
Indonesia
2
0
0
159
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚
Marekani inaongozwa na watu wasiokuwa na Elimu. Kuanzia Rais wao mpaka Wasaidizi wake wote Elimu Ndogo. Kama ulikua unajiongopea kisa wanaongea kiingereza ukahisi ni Wasomi basi Umepotoka hao jamaa hawana Elimu.
𝐇𝐚𝐛𝐢𝐢𝐛 𝐘𝐚𝐡𝐲𝐚 tweet media
Indonesia
9
5
26
7.6K
CHOLLO
CHOLLO@nassor_01·
Kuangalia porno nayo ni kutokuwa na akili,yaani unatazama watu walidinyana mwaka juzi wewe ulivyo jinga unadindisha leo..🚮😂😂
Filipino
23
23
160
9K
bardesh
bardesh@WShauri·
@pastajoshuatz Acha bc mkuu,sio mtego huu...nisije nikaapply kichwakichwa.
Indonesia
1
0
1
1.1K
PASTA JOSHUA
PASTA JOSHUA@pastajoshuatz·
Ukitaka utombe dem wa kibongo haraka mwambie una mke 🫵
PASTA JOSHUA tweet media
Indonesia
40
24
278
10.5K
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
Karunguyeye😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
KIDUKU OFSA NGIRI tweet media
Indonesia
32
11
326
35.2K
Tazama
Tazama@tazamaMbali·
@ze_mandevu Hizi ni tafiti, na bado unaona zina hatari sana so may be miaka 2-4 baadae kutakuwepo na mabadiliko makubwa. Tatizo la wengi wanaobishana wanauona mwezi kama sehemu ya dini. Sasa wakiambiwa watu wameenda huko wanahisi kukwazika sana.
Filipino
1
0
6
399
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
Nadhani bado wengi wetu tuna fikra za kimaskini yaani kwa Dunia ilipofika sasa NASA watupe story za kutunga, wakati miaka ijayo huenda kuna Mataifa mengi yaliyoendelea nayo yataweza kwenda kufanya tafiti huko kwenye Sayari kitakacho baki NASA wataweka Legacy kuwa Watu wa kwanza kufika huko.
The mandevu tweet media
Indonesia
61
45
670
35.4K
Ayubu Danga
Ayubu Danga@DangaAyubu79425·
@VungaEl74 Unaitetea DINI wewe kama nani wewe tetetea Mashoga wenzako huko dini achana nayo wanaoitaka ndio wataitetea tetea Ushoga ndio mnalipwa huko
Filipino
2
0
0
105
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Kuitetea hii dini ni kazi wakuu ona huyu nae mtume aliwataja😂😂🙌🏽🙌🏽
Vunga tweet media
14
4
21
1.2K
Entruscan
Entruscan@JumaMahuba·
@Oktoba29 Hayo yote ni makaratasi tu akili mtu anazaliwa nazo.Akili ni kipaji kutoka kwa Mungu.Jiulize Akina Aristotle walisoma vyuo gani
Filipino
7
0
4
2.8K
Hasta La Victoria Siempre
Kushoto ni msemaji mkuu wa Serikali ya Kenya Isaac Mwaura. Ana diploma 2, degree 1, Masters 2, na Phd student at Oxford Kulia ni Gerson Msigwa msemaji mkuu wa Serikali ya TZ. Alimaliza A.level Songea Boyz 2000, akajifunza kutangaza habari mbalimbali, akaajiliwa Radio Tanzania
Hasta La Victoria Siempre tweet mediaHasta La Victoria Siempre tweet media
Indonesia
83
144
1.5K
73.3K
bardesh
bardesh@WShauri·
@VungaEl74 Hio ni kweli mkuu,mbn kipande kimoja aliondoka nacho.
1
0
1
72
Vunga
Vunga@VungaEl74·
Kumbe mudy aligawanya Mwezi Miaka 1400 Iliyopita Hizi story au ni kweli inawezekana vp alipanda juu ya mwezi au 😅😅😅
Vunga tweet media
Indonesia
61
13
125
11.2K
Broke & Zero Aura (BZA)🍁
Yesu alikufa kwa ajili yetu wanadamu ila sisi waafrica tulikua hatujui hadi miaka 600+ baadaye watu weupe walipokuja kutuambia
Broke & Zero Aura (BZA)🍁 tweet media
Indonesia
33
29
177
10.1K
bardesh
bardesh@WShauri·
@ChristLogic_ @Kariakoo_ No body died for you bro,punguza kuonyesha ujinga hadharani na haswa unapokuwa emotional.
Indonesia
2
0
0
72
Devius Maximus, H.O 🩵
Devius Maximus, H.O 🩵@ChristLogic_·
@Kariakoo_ Kwa kwenda kinyume na dhamiri zao katika kutenda mema. Ila kwa wewe uliyepata habari ya kwamba Kristo alitoa maisha yake ili wewe uwe na haki mbele za Mungu na unamkataa. Geuka before it is too late.
Devius Maximus, H.O 🩵 tweet media
Indonesia
3
0
2
212
MWANAHISABATI
MWANAHISABATI@ArthurGeil·
Acha P 3 (Uraibu) - Porno - Punyeto - Pombe Acha S 3 (Matumizi) - Sukari - Seed oil - Soda Acha K 3 (Vyakula) - Kukaangwa - Kuchakatwa - Kusindikwa Acha W 3 ( Tabia) - Wivu - Wizi - Woga Ongeza Nyingine 👇
Indonesia
8
20
73
4.5K
bardesh
bardesh@WShauri·
@EduTalkTz I think rangi yake ina matter sana politically na kwa interest flan za manipulation But kwa role halisi ya Yesu aliyoiplay hapa duniani sidhani kama rangi yake ni kitu cha msingi sana.
Indonesia
0
0
1
148
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Iwe Yesu alikuwa mweupe, mweusi, mwekundu, wa njano au rangi yoyote ile, what difference does it make?? Ukishajua rangi gani then what? Angekuwa rangi fulani ungemwamini na kuyaishi mafundisho yake zaidi kuliko akiwa rangi fulani?
(---) Onesmo Mushi tweet media(---) Onesmo Mushi tweet media
Indonesia
13
0
64
3.7K
Hustler
Hustler@Feudal70·
Wanaimba Death to America alafu wanakuja kuishi marekani kwa njia zozote zile, iwe kwa F1, J1, B1/B2 visas to enter U.S. ila kwa mtandao wana sema I STAND WITH IRAN 😂😂😂. Watoto wa hao viongozi wa iran hadi wanaomba asylum ilimradi waishi marekani. Kwenu waarabu wa buza
Hustler tweet mediaHustler tweet media
Indonesia
1
0
1
74
Eng.Harrison HR
Eng.Harrison HR@Buberwa_·
Lile kabila limeamua rasmi kujoin Challenge 😂😂
Eng.Harrison HR tweet media
Suomi
98
22
215
23.4K
Alpha Index Pro
Alpha Index Pro@AlphaIndexPro·
🍆 The 20 cities having the most sex. 1. 🇲🇴 Macau 2. 🇵🇱 Krakow 3. 🇲🇽 Guadalajara 4. 🇧🇷 Sao Paulo 5. 🇱🇺 Luxembourg 6. 🇵🇹 Porto 7. 🇫🇷 Marseille 8. 🇹🇭 Bangkok 9. 🇧🇷 Rio de Janeiro 10. 🇵🇦 Panama City 11. 🇬🇧 Cambridge 12. 🇮🇹 Naples 13. 🇨🇴 Medellin 14. 🇧🇪 Brussels 15. 🇻🇳 Hanoi 16. 🇨🇴 Bogota 17. 🇲🇽 Mexico City 18. 🇳🇱 Rotterdam 19. 🇧🇷 Brasilia 20. 🇨🇷 San Jose Source: TimeOut
Alpha Index Pro tweet media
1
5
50
14.7K
bardesh
bardesh@WShauri·
@chilimow @ayubu_madenge Evolution ni Theory, hakuna mtu yeyote alieleta scientific proove ya Evolution. Tofautisha kati ya Theory na Logic.
Filipino
0
0
0
11
Willy Chilly
Willy Chilly@chilimow·
@WShauri @ayubu_madenge Endelea kuamini walichokufundisha,siku ukiamua kufikiria utagundua kuwa hata ile skripti ya historia ya kuwa binadamu wa kwanza walikuwa masokwe uliiamini na bado yamkini unaiamini.
Indonesia
1
0
0
30
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Alisoma degree ya General Engineering akajiunga na jeshi la USA akawa rubani. Akasoma Masters 3 tofauti kisha akajiunga na shirika la anga la NASA. Leo hii Victor Glover ni Pilot wa Artemis II, chombo kinachoenda kuuzunguka mwezi. Tena amekuwa mtu wakwanza mweusi kufanya hivyo.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
25
80
1.3K
22.3K