Greygory Sulle

66 posts

Greygory Sulle banner
Greygory Sulle

Greygory Sulle

@greycode_01

Fullstack Web Application Developer. using Javascript, php, Vuejs, Laravel, Django Postgresql/Mysql

Tanzania Katılım Ekim 2022
111 Takip Edilen56 Takipçiler
Moe Temba
Moe Temba@moetemba·
Utawala wa @elonmusk kupitia teknolojia unazidi kupanda ✌.
Moe Temba tweet media
Indonesia
4
3
7
153
Moe Temba
Moe Temba@moetemba·
Marine boiler ikikoroma vibaya, MELI yote hupata homa 😄.
Moe Temba tweet media
Eesti
5
4
11
296
HabariTech
HabariTech@HabariTech·
Coder sio Software Engineer. Ngoja niendelew na ujuaji wangu. 😂 Nawapa tu challenge moja. Chukua mtu asiyejua chochote kabisa kuhusu software engineer mpe kazi atengeneze app au web app anayotaka yeye. Akimali tuifanyie stress testing alafu tumpe white hack hacker afanye yake. May be hapo mtaelewa nini tunajaribu kuwaambie kuhusu nini AI tools zilizopo sasa hivi zinaweza kufanya. Mnakaza ubongo kwenye vitu ambavyo mnaelewa kabisa. Mimi sio kondoo nifuate tu eti kisa fulani kasema basi niende tu blindly kwamba iko hivi. Plus kama ni mtu unaelewa lugha hata kina Jensen wakiongea hawaongelei kwamba AI zilizopo sasa hivi, wanaongea in future tense “CODERS WILL BECOME….” Sio “CODERS ARE…” au tuanze wafundisha lugha na tenses? At this point tunahitaji nguvu ya ziada sana kuwatoa watu ujinga mlio nao.
stoic_phil@mbnk_20

@HabariTech Mzee,akina Jensen Huang,wanasema coder's wata kuwa obsolete,Musk anasema surgeons watakuwa obsolete,ila weww mjuaji u know best😂, Microsoft wanatumia Ai kuandika code za windows 😭zaidi 80%,ila weww unajua race conditions, silicone valley wanatumia agents,ila weww unajua zaidi

Indonesia
5
0
7
624
Greygory Sulle
Greygory Sulle@greycode_01·
@Positivenga1 @wizaj @nik @twifintech @Plaid Kama nmeelew hiyo article ni kwamba hakuna infrastructure ya instant payment au nirudie kusoma. Alaf pia kama ungeweza kuelezea kuhusu blockchain na relationship yake na stablecoin coz ni kama nachanganyikiwa
Filipino
0
0
0
81
Haulay
Haulay@Positivenga1·
Two years ago, @wizaj introduced me to @Nik, who gave me the opportunity to write about Africa for @twifintech . When I joined, the Africa edition had 22K subscribers. When I left last monday, as @twifintech was being acquired by @Plaid , it had grown to 80K+. While writing, I was also building @SwahiliesPay, helping SMEs move money across borders using stablecoins. That showed me something: Stablecoins are not coming to Africa. They are already here. But nobody is telling this story better, honestly, from inside it. So I'm launching @Stablekoinhq - Africa's stablecoin record, written from inside the market by someone operating in it. The first deep dive is live: Africa's Stablecoin Market Looks Like a Forex Bureau. Most people don't know that yet. stablekoin.africa/p/africa-s-sta…
English
10
17
79
16K
Greygory Sulle
Greygory Sulle@greycode_01·
@SwahiliesPay Hii ni product iliyokamilika au bado maana najaribu kutafuta information yake siipati
Indonesia
0
0
0
1
Swahilies INC
Swahilies INC@SwahiliesPay·
At @SwahiliesPay 2025 was a year of validation and preparation for scale. Here’s a snapshot.
Swahilies INC tweet media
English
1
0
0
313
Greygory Sulle
Greygory Sulle@greycode_01·
@moetemba Hii kweli mwenye ujuzi ananyamaza alafu asiye na ujuzi anaongea
Indonesia
1
0
0
10
Moe Temba
Moe Temba@moetemba·
Maajabu ya Tanzania, Asiye na taaluma ndiye mwalimu wa mwenye taaluma. Wenye ujuzi wananyamaza, wasiojua wanaongea kwa kujiamini.
Indonesia
2
0
3
74
MdoeTech🏅
MdoeTech🏅@Issa_Ally_Mdoe·
Ila Biblia , Neno akawa Mungu 😁😁😁👍
Indonesia
1
0
1
91
Patrick Paul
Patrick Paul@patrick_forreal·
Na hii ndio Ofisi yangu kwa sasa.... 😅✨💯 Ni kupika tuu mpaka mida mibovu.... 👨🏾‍💻 ​Dear client, I'm available for work, njoo tufanye kazi, njoo tu-build something real. I am a Software Engineer ✅ ​Check out more on my portfolio: patrickpaul.co.tz#Repost #TechTwitter
English
6
5
19
567
#TOTTechs
#TOTTechs@TOTTechs·
Tunakoelekea WhatsApp nao watakuja na Subscription, yaani unalipia utumie WhatsApp isiyo na Matangazo 😄
Filipino
21
9
207
11K
Greygory Sulle
Greygory Sulle@greycode_01·
@moetemba Wanatumia currency yao au ile ya South African Rand ndo ya kwao
Filipino
1
0
0
29
Moe Temba
Moe Temba@moetemba·
Je wajua 100K ya Namibia is equal na 16M ya Tanzania 🙌🏽.
Indonesia
1
0
2
86
Greygory Sulle
Greygory Sulle@greycode_01·
Najiuliza ni kweli ameshindwa ku integrate payment gateway watu wamalize malipo ndani ya app au kuna jambo la kielimu hapo msaada @salymdev @TOTTechs
Filipino
1
0
0
52
Greygory Sulle
Greygory Sulle@greycode_01·
Majuzi nilikuwa napita kwenye akaunti ya dev bro mmoja ambaye yupo vizuri sana kwenye UI ya app yake sasa nkatengeneza akaunti kwenye app yake sasa nilichoshangaa ni kwamba subscription ya mwisho wa mwezi ameweka lipa namba sasa najiuliza.......
Indonesia
1
0
0
46
Moe Temba
Moe Temba@moetemba·
Maths
Moe Temba tweet media
Français
1
0
2
131
It's MalekoGJ.
It's MalekoGJ.@GoodluckMalekoJ·
Unavyoweza KUJIFUTA kwa Google ndani ya dakika 1 Na kwanini hii ni silaha ya kujilinda kisaikolojia, kifamilia na kidijitali. Umezoea kuandika jina lako au mtu fulani Google na kuona taarifa zote zinaibuka? Labda namba yako ya simu ipo hadharani. Au taarifa flani
It's MalekoGJ. tweet mediaIt's MalekoGJ. tweet media
Indonesia
3
10
12
1.7K
Mkanji Kondele (Advocate)
Mkanji Kondele (Advocate)@AdvocateKondele·
Wakuu naomba mnisaidie Websites za kucheki Game (Mpira) live, Natanguliza shukrani.
Mkanji Kondele (Advocate) tweet media
Indonesia
11
3
21
1.8K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Nimetoka FACEBOOK kusoma comments za hii taarifa ya VIFO VYA POLISI.🫵🏾😂 Hakika WATANZANIA HAWAWAPENDI POLISI. Naamini nao wanaona wanavyochukiwa. SOMA BAADHI YA COMMENTS KWENYE HII POST.👇🏾👇🏾👇🏾
SIR TIVA tweet media
Filipino
113
126
1.8K
232.1K