beberu la kaya
1.1K posts


@Rydx_017 @athanas_pius @babalao__ @Balyx_ @DullahTheking2 @MissChelsea1221 @spana_Konki njoo kuna meme kali kinoma
Eesti

@said9817143 @kirigitim Ashawahi kula mzinga gairo pale ilikua yutong f11 japo haikuua
Filipino

@iamkathambi A Tz friend argued with me over whether it is "tikiti" or "tiketi". All kamusi's vindicated me. Apart from sheng, when Kenyans are intentional, they speak Kiswahili sanifu better than the neighbours.
English

@Labella_Mafia95 Hiyo ipo us ,ila tz hakuna kitu kma hicho
Indonesia

@Bein_bee @Funnyboe_tz Wote tunaelewa mtu akisema V8 mtaani anamaanisha nn.
Najibu kutokana na muulizaji kauliza nn.
Wote tunajua kila brand ya gari ina V8 engine kwa baadhi ya gari lakn kikwetu kwetu mtu akisema v8 Moja kwa Moja unaelewa anazungumzia gari gan
Indonesia

@zeanonymouspoet Mi nawaambiaga watu haya mambo ya kuperfom live wamuachie jide tuu
Indonesia

@DullahTheking2 Hili goma ni kali sana ila ndo ivo wasanii wetu chenga
Indonesia

@KATAMBUGAH @DullahTheking2 Hii ni hatari kuna ngoma kali sana umo
Filipino

@DullahTheking2 In Africa past 5 years(2020-2025) hii itabaki kuwa Album yangu bora mpaka sasa.
Fireboydml alitoa Mawe MWAMWI.

Filipino

@majizo_jr Namba 14 same boys iyo inaitwa desert storm sijajua miaka hii
Indonesia





































