bardesh
3K posts

bardesh
@WShauri
Wood Technologist//PUTINIZED
Tham gia Ağustos 2021
568 Đang theo dõi388 Người theo dõi

Anaandika @MalisaGJ_
Tangu jana nilipopata habari za kifo cha Baba Askofu Dr. Bernardin Mfumbusa (PhD) nilihisi kama naota. Haikuwa rahisi kuamini. Na hii ni kwa sababu siku 5 tu kabla ya kifo chake yani Aprili 09, alikuwa ameteuliwa na Papa Leo XIV kuwa Dikasteri wa Tume ya Mawasiliano ya Vatican.
Miezi michache kabla ya uteuzi huo (Agosti 2025) alichaguliwa kuwa Rais wa Kamati ya Maaskofu wa Afrika ya Mawasiliano ya Kijamii (CEPACS). Aliongoza kamati hiyo kuandaa mpango mkakati wa mawasiliano ya kanisa kwa mwaka 2025–2028 akisisitiza jukumu la vyombo vya habari na mitandao katika kueneza Injili.
Baba Askofu Bernardin Mfumbusa alikuwa Mhadhiri wetu Chuo Kikuu SAUT Mwanza. Hakuwa Mhadhiri tu, bali rafiki, mlezi na mcheshi. Huwezi kuhudhuria mihadhara yake ukaacha kucheka.
Alipenda sana wanafunzi kujitafutia maarifa. Mara nyingi ulikuwa ukimfuata kwa swali la kitaaluma, alikupa orodha ya vitabu ukasome. Na angefuatilia kujua kama umesoma kweli. Siku moja tulimpelekea swali mimi, Kelvin Majura na Thomas Abeid, badala ya kujibu akatutajia kitabu cha kwenda kusoma.
Tukaenda library kukitafuta lakini hatukukipata. Tukamrudia na kumwambia hicho kitabu hakipo library, akatoa cha kwake akatuazima tusome, tujibu swali kisha tumrudishie 😄. He was such a friend. Ni mwalimu, baba, rafiki na mlezi.
Hata wakati anateuliwa kuwa Askofu alikuwa anafundisha. Yani asubuhi katoka lecture theatre, jioni tunasikia ameteuliwa kuwa Askofu. Ilikuwa furaha kubwa sana. Na hata siku ya kusimikwa kwake Kondoa, mamia ya wanafunzi walimsindikiza.
Baba Askofu Bernardin Francis Mfumbusa alizaliwa tarehe 1 Aprili 1962, mkoani Arusha wazazi wake wakiwa wenyeji wa Kondoa. Baada ya kuhitimu masomo yake ya sekondari na malezi ya imani alijiunga na masomo ya Falsafa (Bachelor degree in Philosophy) na kuhitimu mwaka 1988 kisha na Shahada ya Theolojia (Bachelor degree in Theology) na kuhitimu mwaka 1992.
Alipewa daraja takatifu la Upadre tarehe 14 Juni 1992 katika Jimbo Katoliki Dodoma. Kisha akatumwa masomoni Chuo Kikuu cha Gregorian (Roma), ambako alipata shahada ya uzamili ya Mawasiliano (Masters in Communication Studies) mwaka 1997.
Alirudi kufundisha Chuo Kikuu St. Augustine wakati huo kikiitwa Nyegezi Training Social Institute. Baadaye alitumwa tena masomoni kwa shahada ya uzamivu ya mawasiliano ya umma (PhD in Mass Communication) katika Chuo Kikuu cha Gregorian kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Cornell cha New York.
Baada ya kuhitimu PhD mwaka 2001 alifanya kazi kidogo katika Ofisi ya Mawasiliano ya Jimbo la Rockford, Illinois, Marekani, chini ya uongozi wa Owen Phelps, mwanzilishi wa Taasisi ya Yeshua (Yeshua Catholic Leadership Institute).
Alirejea Chuo Kikuu SAUT kama Mhadhiri na akateuliwa kuwa Mkuu wa Kitivo cha Sayansi ya Jamii (Dean of Faculty - Social Sciences) na baadaye Naibu Makamu Mkuu wa Chuo taaluma (Deputy Vice Chancellor Academic Affairs) hadi alipoteuliwa na Papa Benedict XVI kuwa Askofu mwanzilishi wa Jimbo la Kondoa.
Aliwekwa wakfu tarehe 15 Mei 2011 na Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiwa Principal Consecrator akisaidiana na Askofu Mkuu Yuda Thadeus Ruwa’ichi, OFM Cap na Askofu Augustine Shao, C.S.Sp wakiwa kama Principal Co-Consecrators.
Baba Askofu Mfumbusa alipewa moja kati ya majimbo machanga katika Kanisa Katoliki, lakini alilipenda na alijitolea kwa moyo wake wote kuhakikisha linasonga mbele. Jimbo la Kondoa linahusisha wilaya mbili za Kondoa na Chemba ambazo zina wakazi 667,000 lakini Wakatoliki ni 63,102 tu kwa mujibu wa takwimu za Vatican. Sehemu kubwa ya wakazi wa Kondoa ni Waislamu.
Kwa kutambua hilo Askofu Mfumbusa aliongoza jimbo lake huku akisaidia pia jamii nyingine ya wananchi wa Kondoa wasio Wakatoliki. Alianzisha miradi mbalimbali ya maendeleo kwa ajili ya kusaidia jamii ya watu wa Kondoa na katika miradi hiyo aliajiri watu wote bila kujali dini zao.
INAENDELEA 👇



Indonesia

@HabiibYahyaa Mhhh wewe jamaa,Unamjua vizuri Jared Kushner? Unafananisha na elimu za madrassa.
Indonesia

@pastajoshuatz Acha bc mkuu,sio mtego huu...nisije nikaapply kichwakichwa.
Indonesia

@ze_mandevu Hizi ni tafiti, na bado unaona zina hatari sana so may be miaka 2-4 baadae kutakuwepo na mabadiliko makubwa.
Tatizo la wengi wanaobishana wanauona mwezi kama sehemu ya dini. Sasa wakiambiwa watu wameenda huko wanahisi kukwazika sana.
Filipino

Nadhani bado wengi wetu tuna fikra za kimaskini yaani kwa Dunia ilipofika sasa NASA watupe story za kutunga, wakati miaka ijayo huenda kuna Mataifa mengi yaliyoendelea nayo yataweza kwenda kufanya tafiti huko kwenye Sayari kitakacho baki NASA wataweka Legacy kuwa Watu wa kwanza kufika huko.

Indonesia

@VungaEl74 Unaitetea DINI wewe kama nani wewe tetetea Mashoga wenzako huko dini achana nayo wanaoitaka ndio wataitetea tetea Ushoga ndio mnalipwa huko
Filipino

@ChristLogic_ @Kariakoo_ No body died for you bro,punguza kuonyesha ujinga hadharani na haswa unapokuwa emotional.
Indonesia

@Kariakoo_ Kwa kwenda kinyume na dhamiri zao katika kutenda mema. Ila kwa wewe uliyepata habari ya kwamba Kristo alitoa maisha yake ili wewe uwe na haki mbele za Mungu na unamkataa. Geuka before it is too late.

Indonesia

@EduTalkTz I think rangi yake ina matter sana politically na kwa interest flan za manipulation But kwa role halisi ya Yesu aliyoiplay hapa duniani sidhani kama rangi yake ni kitu cha msingi sana.
Indonesia

Nyie wafunikeni wake zenu kwenye magauni makubwa yanayo fagia barabara na nguo zinazofunika kichwa hadi vidole alafu nyeusi kwenye jua na joto la DSM.
Wenzenu watoto wao wanakula maisha wanayotaka U.S.
Kwako @EsirEid
New York Post@nypost
Notorious Gen. Soleimani's sultry grandniece led lavish lifestyle touring US hotspots, as her mom promoted Iranian regime trib.al/y38evjw
Indonesia

Mnaona madharau haya ??? Kila siku napiga kelele humu ukipewa pussy acha ulemavu weka alama🥸
Kama una kifilimbi hii mama inakutukana huku
❤️@ellah255
Mnahangaika kulinda vitu ambavyo four rounds kufika ni mtihani😹😹 vipotee tuu🚮
Indonesia

🍆 The 20 cities having the most sex.
1. 🇲🇴 Macau
2. 🇵🇱 Krakow
3. 🇲🇽 Guadalajara
4. 🇧🇷 Sao Paulo
5. 🇱🇺 Luxembourg
6. 🇵🇹 Porto
7. 🇫🇷 Marseille
8. 🇹🇭 Bangkok
9. 🇧🇷 Rio de Janeiro
10. 🇵🇦 Panama City
11. 🇬🇧 Cambridge
12. 🇮🇹 Naples
13. 🇨🇴 Medellin
14. 🇧🇪 Brussels
15. 🇻🇳 Hanoi
16. 🇨🇴 Bogota
17. 🇲🇽 Mexico City
18. 🇳🇱 Rotterdam
19. 🇧🇷 Brasilia
20. 🇨🇷 San Jose
Source: TimeOut


@chilimow @ayubu_madenge Evolution ni Theory, hakuna mtu yeyote alieleta scientific proove ya Evolution.
Tofautisha kati ya Theory na Logic.
Filipino

@WShauri @ayubu_madenge Endelea kuamini walichokufundisha,siku ukiamua kufikiria utagundua kuwa hata ile skripti ya historia ya kuwa binadamu wa kwanza walikuwa masokwe uliiamini na bado yamkini unaiamini.
Indonesia

























