
Public_Adm!n_Embu_SubCounty
36 posts








No friend of the Ayatollah is a friend of ours. South Africa’s president is cozying up to the Iranian regime while grandstanding and enjoying American freedom in Chicago.



























‼️”TUNDU LISSU CASE INVOLVES ME AS MANY OTHERS” BISHOP GWAJIMA INSISTS!‼️ What Bishop Gwajima has very clearly articulated is that majority of Tanzanians including CCM members support the release of @TunduALissu As I always said Lissu’s case is politically motivated but support for Lissu is non partisan 🔥 We all say #FreeTunduLissu Askofu kaongea kwa hekima kubwa sana na ushauri wake ni wenye thamani kubwa! Bora umetusaidia kusema maana sisi tumeshauri tumeonekana wabaya wanatuwinda! Sasa wasiseme madhulmat kuwa hawakuambiwa! Hapa wakikaidi ni kwamba hawaambiliki na ni wakatili MNO! Hakuna kingine! Mwachieni Tundu Lissu! Mmetutia hasira wengi na hii dhulma! Huu ndo ukweli!

#Pichani ni Siza Mwita Keheta Diwani CCM Kata ya Ganyange Tarime vijijini na rafiki ake anaitwa Athony Mseti Gabriel ambae ni mfanyabiashara. Siku ya tukio walikuwa safarini kutokea Tarime kwenda Tabora lakini walipofika familia zilipoteza mawasiliano nao siku picha za gari waliyokuwa wakitumia kusafiria zilisambaa mitandaoni kwamba kuna gari imetelekezwa Nzega na mwenye nayo hajulikani. Baada ya familia kufuatilia waligundua ni gari ya mtoto wao ambaye ni Diwani Siza Keheta, walifika kituo cha Polisi Nzega wakatoa taarifa badae wakaongozana na Polisi hadi mahali ambapo gari ilikuwa imetelekezwa walijiridhisha kwamba ni gari ya ndugu yao. Tangu siku hiyo mpaka leo namba zao za simu hazipatikani na hakuna ambaye anajua wako wapi.















