Lyor

1.1K posts

Lyor banner
Lyor

Lyor

@LyorXen

#Blessed son

Katılım Ağustos 2015
875 Takip Edilen335 Takipçiler
Kaka mkubwa
Kaka mkubwa@sapro_phyticus4·
Kuna actor wa kikorea anapiga panga kumzidi huyu mwehu?
Kaka mkubwa tweet media
Filipino
53
24
235
21.7K
KIDUKU OFSA NGIRI
KIDUKU OFSA NGIRI@Innocen89950594·
@Mwinshehe07 Ukiwa Na Familia Halafu Umeajiriwa Na Mshahara Kwa Mwezi Ni Chini Ya 1M Ni Kamzozo Sana Labda Uwe Na Mishe Nyingine Inayokuingizia Kipata Vinginevyo Ukipokea Tu Mshahara Wako Wote Unaishia Kwenye Madeni Na Bado Hautoshi Kumaliza Madeni.
Filipino
4
0
13
1.2K
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Ndoto yangu nipate kazi nitakayolipwa walau 450k per month ili niweze kujikimu kimaisha
Indonesia
65
85
445
12K
Gmmy
Gmmy@jkbtetes107·
@Sativa255 Kaka hujachelewa mm nilikuwa na 74kg niliamua kupuuza kutafuna kila kinakutafunwa mbali mlo ni asubuhi na mchana usiku either tunda au kavu na tizi kidogo mpk sas niko na 62-61kg kiufupi nime pungua mpk na jiona mwepesi na tumbo la kihasara limeisha lote so kaza
Indonesia
8
0
41
5.3K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Nilichelewa sana kujua namna ya kula "healthy" Nawatamania sana waliojua ishu za diet kitambo na wanaziishi kama sehemu ya maisha yao. Huu mwaka nimewekeza kwenye AFYA yangu-moja ya kitu nilianza nacho ni DIET yangu izingatie Heathy na kupiga tizi back to back. KILO 11 zimepotea mpaka sasa. Hii ni challenge ya mwaka mzima MUNGU akinipa kibari. 🙏
Indonesia
76
89
1.5K
72.6K
Alex Trench-Anod⚡️
Alex Trench-Anod⚡️@nabricsllalana·
@Mkanaani_ Ni kweli Easter was once pagan festivals later on integrated in the church symbolizing commemoration of Jesus' resurrection.... Easter was once a pagan holiday ikihusishwa na muungu aitwaye (eostre) ikimaanisha fertility/nee beginning.. Ilisheherekewa majira ya masika ( spring)
Filipino
2
0
0
297
Strait Of Hormuz
Strait Of Hormuz@2Ndulisu·
@PolycarpMDM Afu kuna mtu anakuambia baada ya F-15 kudunguliwa, eti marekani walitumia Helikopta kutafuta marubani wake😂 Kwenye anga lipi ukarushe Helikopta ilivo na makelelle kama guta
Indonesia
2
0
1
576
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Kwa mujibu wa gazeti la The New York Times, ndege ya kivita ya Marekani aina ya A-10 Warthog ilianguka karibu na Mlango wa Bahari wa Hormuz wakati huohuo ambapo ndege ya F-15 ilidunguliwa juu ya kusini mwa Iran. Rubani wa ndege hiyo ya A-10 aliokolewa haraka na vikosi vya Marekani na kwa sasa yuko salama.
Polycarp The Bibliophile tweet media
Indonesia
3
2
61
5.2K
Mzee baba
Mzee baba@kissamosulleysh·
@FrankIsmail12 @fadhilikangusi Kiuhalisia hiyo tamaa ya kufanya ya Kimungu wanayo wachache sana kuliko wengi na hilo Mungu alilijua hivyo basi mbingu(pepo) iliumbwa kwa ajili ya wachache ila jehanam ndo iliumbwa kwa ajili ya majority yani kuna kama class hapo ndo maana shetani karuhusiwa kutusakama.
Indonesia
2
0
3
25
Fadhili Kangusi
Fadhili Kangusi@fadhilikangusi·
Biblia inasema, baada ya Kaini kumuua Habili, alikimbilia nchi nyingine na kwenda kufanya maisha yake huko. Wakati huo huo tunaambiwa Adam na Eva (Wazazi wa Kaini na Habili) ndio Watu wa kwanza kuwepo Duniani. Huko alikokwenda Kaini, kulikuwa na akina nani?
Filipino
61
16
302
28.5K
TARSHA
TARSHA@taricksadat·
@ShijaDenis @Ramatech255 kuna sehem walizingua aisee app luncher yake yaan kama zile sim za zaman za tecno ukwel
Filipino
3
0
6
303
Denis_developer🐼
Denis_developer🐼@ShijaDenis·
Huw simuelewi mtu ambae anakuambia pixel UI ni mbaya ...Yani how UI Kali kama hii iwe mbaya au ubaya wake Nini Kwa mfano..🤔
Denis_developer🐼 tweet media
Indonesia
19
7
57
4.5K
Classic
Classic@clasik_101·
@Narrowbeeflying Hapo akienda polisi aseme amepoteza leseni si anapewa ingine 😅😅😅
Filipino
3
0
1
1.2K
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Kuna mwanangu mmoja alinipa hii lesen since mwaka jana halafu nikamuazima hela naona ananizungusha kunilipa hebu niambieni hii ni leseni OG kweli au nimeshapigwa za utosi 💔🥹
Narrowbeefly tweet mediaNarrowbeefly tweet media
Filipino
22
8
113
14K
Maximann
Maximann@JrKapesa·
@LyorXen @prossoff Yeah lakin akae mbali tupo kwenye ndoa HIV kapata wap kama sio umalaya?
Indonesia
1
0
0
46
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Naanza kuamini kwamba kuna wanawake wanadawa za kuwashika wanaume wao. Kuna mwanangu mmoja amepambana na mkewake katika kuugua. Mwanamke anaumwa mara kwa mara, baada ya muda akapima HIV akakuta positive. Msela akamuachia geto na watoto, ila now wanakaa pamoja tena. MADAWA.
Indonesia
25
38
551
89.6K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Hivi humu nyie hamtaki Mashamba ya miti Iringa?
Indonesia
19
19
289
12.8K
Batholomeo Shukran?
Batholomeo Shukran?@batho_shukran·
Crypto ina opportunities nyingi sana ukiachana na trading. Na mojawapo ni kuwa P2P merchant Hizo commission ndogondogo utakazozipata kwenye txns zinaweza kukupa chochote kitu.
Filipino
8
15
90
6.6K
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Kwahiyo mnaotumia Halotel bado mnawasha VPN aise poleni. Shenzi nyie 😁
Indonesia
7
15
76
3.2K
Lyor
Lyor@LyorXen·
@Mchinagraphics Kuna kipande cha singida babati kuna mashimo unaweza fuga samaki
Filipino
0
0
0
114
高明✝️
高明✝️@Mchinagraphics·
Barabara ya singida kuitafuta Tabora ina mashimo kinoma sasa leo tumeongozana na msafara sijui ni manyota gani ila dakika chache mbele wamepiga tairi chini 😂😂
Filipino
15
11
114
7.5K
提图斯🕊
提图斯🕊@0404_CfC·
@BillyTronix1 Anatafuta legitimise, kuna jambo anataka kulifanya hapo sasa ili dunia isije badae kumgeuka au kukataa anaomba kwanza wadau wasapoti mchongo
Filipino
3
0
0
203
Omary Mjema
Omary Mjema@MjemaAdam·
@MrDepalitto9 Mimi nikiwa na 18 hela naweza kuingiza 6/8 M per month depend na location kwa biashara ya maji hila sio ya kuuza hayo kuuza maji kwa namna nyengine
Indonesia
3
0
6
5.7K
Real Nigger
Real Nigger@MrDepalitto9·
Ulishawahi fanya biashara ndogo na ujapata fedha kubwa Kuna biashara hii 1 ya kufanya 1 Nenda company za maji weka oda ya maji Gari moja 2.3M carton 1000 Kisha nenda company nyingine chukua Gari nzima zifike Gari tatu mfano Hill water, Afya na Pangan kila kampun chukua carton 1
Indonesia
25
25
478
46.4K
Joel Ntile
Joel Ntile@JoelNtile·
Mtandao wa reli aliopanga mkoloni mjerumani kuujenga miaka hiyo tangu mwaka 1890 Serikali ya Ujerumani ilipoamua kuendesha wenyewe koloni badala ya kutumia kampuni. Alifanikiwa kujenga kilomita 1,600 kati ya takribani kilomita 5,000 walizopanga kujenga.
Joel Ntile tweet media
Indonesia
29
77
294
32.5K