Extremely Introvert

186 posts

Extremely Introvert

Extremely Introvert

@introvert9t

football music

Around Katılım Ekim 2024
72 Takip Edilen14 Takipçiler
Mchoyo.com
Mchoyo.com@MchoyoC·
@LMahenga23273 @fumbokhanJr Bado ni mzungu Tena mrumi iyo tunisia imewahi kua chin ya Dola ya kirumi kwa mda mrefu sana ao warumi wameshakaa adi Sudan wametawala nchi nyingi ili uwe mwafirka wa kwel lamza uwe black ndio tunachopigania atuwez kuwakilishwa na watu waeupe ata kama wamezaliwa hapa wanakwao
Indonesia
1
0
0
107
Fumbo Khan
Fumbo Khan@fumbokhanJr·
Katika Papa 267 Marekani ndio wamepata Papa Wa Kwanza Kutoka Bara Lao, Unadhani Africa inaweza Kupata Papa Kweli,?
Fumbo Khan tweet media
Filipino
95
19
688
44K
dr.agricultor_tz
dr.agricultor_tz@allymwalimu99·
@millardayo Watu wengi hawakumuelewa TRUMP - AlivyoPost hii Picha akiwa amevaa mavazi ya POPE… Ilikua ishara kwamba PAPA atatoka America na Tayari walikuwa wameshamaliza mipango yote… Hiyo ya moshi mweupe sijui mweusi ni maigizo tu kama maigizo mengine 😂 SIASA ZA DUNIA hizi
dr.agricultor_tz tweet media
Indonesia
4
0
22
2.2K
millardayo
millardayo@millardayo·
Kadinali Robert Prevost (69) kutoka nchini Marekani ametangazwa kuwa Kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki Duniani ambaye atafahamika kwa jina la Papa Leo wa 14. Papa Leo wa 14 ametumia muda wake mwingi akitumikia nchini Peru, na ana uraia wa Marekani na Peru ambapo kuchaguliwa kwake kunafuatia kifo cha Papa Francis, aliyefariki akiwa na umri wa miaka 88 siku ya Jumatatu ya Pasaka 21 April na mazishi yake kufanyika siku ya Jumamosi 26 April. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
71
50
1.3K
82.8K
joshmedia
joshmedia@notforjosh·
@yerdas_outV2 The inverted role has really shielded him and he’s grown fat and slow now 🥴🥴
English
1
0
3
1.1K
Four
Four@24onFour·
@godbless_lema Huyu mzee ajikite kwenye mambo anayoyaelewa ... masuala ya serikali na utawala hayaelewi vizuri. Tume ya uchaguzi haikusimamia uchaguzi wa 2024. Beside hata yeye mwenyewe anaposema walivuruga uchaguzi... ni determinant zilizoko kwenye kesi ya @TunduALissu
Indonesia
9
0
3
4.1K
LK.
LK.@LKCOYB·
It’s a shame James doesn’t get in Maresca’s favourite XI right now, but that’s the curse of being out for so long. Hard to move from what’s produced our best performances. James off the bench can hopefully be a big boost at some point in the game. Hopefully can see him push on from RB to the half-spaces at some point like we see from Gusto/Cucu. Think we see the best of him if used in that way.
LK. tweet media
Chelsea FC@ChelseaFC

Here’s your #CHELIV team news! 🗞️ 🇪🇸 Rob is fit to start from the off. 🇧🇪 Romeo anchors the midfield. 🇸🇳 Nico leads the line. #CFC

English
6
7
196
8.7K
Sammy Awami
Sammy Awami@awamisammy·
"Tutakaposema chagua chama hiki na uache chama hiki, hapo ndipo tutakuwa tumeingia kwenye siasa. Lakini tunaposema acha kuiba kura za mwenzako, acha kuiba kura ya raia aliyempigia huyu ihesabu pale pale. Huo ni uovu, ni ushetani, ni dhambi na lazima iachwe." bbc.com/swahili/articl…
Filipino
20
158
799
38K
Eddo
Eddo@Eddo142·
@ZPlanmaster Kuna mmoja hapo anakutoa kiboss kabsa bila kelele Wala fujo yoyote na unakuwa free mtaani pia unaweza Hadi kupewa na Kazi ikulu..!!! Na sio mwingine Bali ni RAYMOND WA BLACKLIST 😂
Filipino
15
2
111
6.2K
Ze Planmaster
Ze Planmaster@ZPlanmaster·
Utampigia nani hapa
Ze Planmaster tweet media
Indonesia
274
38
1.1K
127.7K
maestroo24
maestroo24@maestrooo24·
@FKihamu they would burn down the vatican before having a nigga pope 😀
English
2
1
13
3.4K
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Kadinali Robert Sarah, Mzee wetu anatajwa kuwa Mkatoliki mwenye msimamo mkali, ndie moja kati ya Makadinali wanne waliomwandikia ‘dubia’ Papa Francis alipolegeza msimamo wa Kanisa kuhusu Mapenzi ya Jinsia moja, Kadinali Sarah msimamo wake ni mkali sana juu ya Watu wa Mapenzi ya Jinsia moja, utoaji mimba na uhamiaji haramu, anatokea Guinea, wenyewe wanasema ni mlengo wa Papa John Paulo wa Pili.
Farhan Kihamu Jr tweet media
Indonesia
71
80
1.5K
109.3K
Mbaruk Hamad
Mbaruk Hamad@muniydrik·
@_zack255 @mshambuliaji Wao ndio vibaraka wakubwa wa wazngu na haya makanisa yanatmika sana kudestabilize tawala za kiafrika kma kwel kanisa katolik Lina nia kwel ya democrasia na tawala bora wangeanza Kongo ambako wakristo kibao wnakufa kisa madini
Filipino
3
0
0
387
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
RAIS wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Wolfgang Pisa amesema ni muhimu Serikali kukaa na wadau wa uchaguzi, kuruhusu mabadiliko ya lazima kabla ya uchaguzi mkuu wa baadaye mwaka huu huku akisisitiza umuhimu wa amani kuelekea uchaguzi huo na kutaka wote waliokamatwa kwa kudai mageuzi ya mifumo ya uchaguzi waachiwe haraka na bila masharti. Askofu Pisa ambaye pia ni Askofu wa Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi ametoa wito huo usiku wa kuamkia leo Jumapili Aprili 20, 2025 katika mahubiri ya misa ya mkesha wa pasaka iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Andrea Kaggwa, mkoani Lindi. Askofu Pisa amesema sauti na vilio vya wengi vinapaswa kusikika na kusisitiza kwamba kasoro zilizojitokeza zinapaswa kurekebishwa haraka. Kukiwa na nia ya dhati kutoka kwa wahusika muda unatosha kabisa kufanya hayo marekebisho kabla ya uchanguzi mkuu. "Katika hali ya kawaida nani anaharibu amani, anayetumia nguvu na kusisitiza uchaguzi uende anavyotaka yeye au yule anayesema jamani turudi mezani ili tuangalie mifumo yetu ya uchaguzi, kwani kwa mfumo wa sasa hauwezi kutupatia viongozi wa haki na wa kweli?"— amehoji Askofu Pisa #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
75
175
2K
113.1K
ONJOLO KENYA🇰🇪
ONJOLO KENYA🇰🇪@onjolo_kenya·
Tanzania has the mountain, Kenya has the view. 😊 Kilimanjaro
ONJOLO KENYA🇰🇪 tweet media
Indonesia
471
4.5K
42.7K
1.5M
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Naona bro hoja zimeanza kuisha sasa ameanza vituko😂😂😂😂. Sasa kama Dunia ni flat, hizo South Pole na North Pole zinatoka wapi tena?😎
179
18
311
53.7K
Hafidh
Hafidh@hafidhlabdi4·
@Sativa255 Ndo maana mikeka inakubali hii ni zaidi ya watu wanaotoa sadaka kwa mwamposa
Indonesia
2
0
1
342
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Ambia NDUGU washike simu.✅🫵🏾
SIR TIVA tweet media
Indonesia
95
37
277
36.5K
mtawalavenny
mtawalavenny@mtawalavenny·
@introvert9t @EduTalkTz Ndio maana nikakwambia itabidi uchague upande wa kuwa kama unachagua sayansi basi itakua vzr kutoichanganya na dini maana ni vitu viwili tofauti and I think kuna mmoja ni mkweli na mwingine ni muongo. Nani mkweli au nani muongo Mimi sijui kazi kwako kuchakata pumba na mchele
Filipino
1
0
0
7