Stephen Julius masele

314 posts

Stephen Julius masele

Stephen Julius masele

@stephen_masele

Stephan Masele is a Tanzanian entrepreneur, Politician and former 1st Vice President of the Pan African Parliament. Also served as Deputy Minister.

Dar es Salaam, Tanzania Katılım Mayıs 2014
372 Takip Edilen12K Takipçiler
Stephen Julius masele
Stephen Julius masele@stephen_masele·
Eng. Gisima Nyamo-Hanga, Nimelia machozi, a true brother and friend. A man of wisdom umetuacha. Poleni sana familia, wafanyakazi wote wa Tanesco na ndugu na marafiki wote. Mwenyezi Mungu ampe pumziko la amani la milele. Amen
Stephen Julius masele tweet mediaStephen Julius masele tweet media
HT
1
3
4
3K
Stephen Julius masele
Stephen Julius masele@stephen_masele·
Dar es Salaam derby aggregate 7-2. 🙏
Stephen Julius masele tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Français
18
69
1K
15K
Emmanuel
Emmanuel@EmmanuelNasa·
@stephen_masele Hivi utopolo ni kweli hujui hakuna aggregates kwenye Ligi 🗣🗣
Indonesia
1
0
0
107
Gellen Ana
Gellen Ana@AnaGellen55180·
@stephen_masele Mh. Yanga bingwaa 💚💛🖤💪🇹🇿 njooo wote Nina FB Kila mtu leo
Gellen Ana tweet media
Filipino
1
0
0
111
Stephen Julius masele
Stephen Julius masele@stephen_masele·
@Outset_Of_Omega Kweli unaweza kufikiria kwamba sijui hizo tofauti? Kwa taarifa tu kweli taarifa zimefika mbali na wameniahidi kkufanyia kazi na kuboresha kanuni. For the best interest of football NOT Yanga.
Indonesia
1
0
4
300
Stephen Julius masele
Stephen Julius masele@stephen_masele·
Shirikisho la kandanda (CAF) linahitaji marekebisho katika utaratibu wake wa Sheria na Kanuni ili kufanya bodi ya soka ya Afrika kuwa ya kisasa. CAF inahitaji marekebisho ya Sheria na Kanuni zake.
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
69
42
454
35K
Stephen Julius masele
Stephen Julius masele@stephen_masele·
Je, ni kwa vipi Kanuni zinawaruhusu wamiliki wa klabu za soka kuwa Rais wake? Hiyo inakinzana na kanuni za haki, kutopendelea na uwajibikaji. Nashauri Kanuni hii lazima itazamwe upya ili kulinda heshima, usawa na haki.
Indonesia
10
2
14
5.1K
Stephen Julius masele
Stephen Julius masele@stephen_masele·
CAF ibadilishe Kanuni za goli la ugenini Kifungu cha III. RATIBA NA MFUMO WA MASHINDANO sehemu ya 26.Ikiwa kuna usawa katika idadi ya mabaoyaliyofungwa wakati wa mechi mbili na katika kesi hii pekee,timuambayo itakuwa imefunga idadi kubwa ya mabao ya ugenini itatangazwa mshindi.
Indonesia
3
1
14
1.8K
Stephen Julius masele
Stephen Julius masele@stephen_masele·
Here we go! This ref didn’t even attempt to review VAR to validate his erroneous decision. He knew the review could show clear goal. Shame!
Stephen Julius masele tweet media
English
36
99
509
26.1K
Man @Phd
Man @Phd@meni_md·
@Lyimo__Jr @stephen_masele Yeye alinyimwa nafasi ya ubunge pamoja na kwamba alishinda kura za maoni muulize Kwa Nini hakwenda mahakamani?
Indonesia
1
0
0
84
Stephen Julius masele
Stephen Julius masele@stephen_masele·
Yanga inaweza kukata rufaa CAF kupitia kufungua cha sheria za mpira za CAF namba XVI kifungu namba 3, kuhusu utawala na upanganji wa matokeo. Kama itathibitika ukweli basi timu iliyoshinda itanyang’anywa matokeo na kupewa timu pinzani. Nashauri viongozi yanga tumieni kanuni.
Stephen Julius masele tweet media
Indonesia
84
180
1.2K
55.3K
Man @Phd
Man @Phd@meni_md·
@stephen_masele @KumbushoDawson Mbona wew hukutumia Kanuni hizo kulinda kura zako za maoni na akapewa ubunge mtu aliyepata kura 6? Kumbe inauma? 😂😂😂
Filipino
3
2
20
2.5K