
@ddaniels_k @Elsukay0 Ndio upunguze chuki mzee, haipendezi kwa ujenzi wa taifa na kizazi chako kwa ujumla 🙌
Killer||Negan
699 posts

@killerNegan1
MuFC Fan||Yanga||HallaMadrid❤️💚🤍








Unaambiwa tajiri wa mabasi ya Mallessa's enzi zake anajitafuta wale watu wote waliomwambiaga hatofika mbali majina yao kayaweka nyuma ya mabasi. Source ya Habari: Kijiwe nongwa kawe ukwamani📌








